Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,380
Hivi Fred Felix Minziro hakuwa na nickname?
Steven Nemes je?
hilo Minziro ndio nickname yake huyo mzee wa banana chop
Hivi Fred Felix Minziro hakuwa na nickname?
Steven Nemes je?
Khalifa ngasa"kiumbe"Nico Bambaga alikuwa anaitwa nani?
Hamza Mponda je?
Khalfani Ngasa?
Hivi Fred Felix Minziro hakuwa na nickname?
Steven Nemes je?
Salvatory edward "polisi"
James tungaraza"bolizozo"
Haruna niyonzima"fabregas"
Nico Bambaga alikuwa anaitwa nani?
Hamza Mponda je?
Khalfani Ngasa?