Tujikumbushe matukio ya kwenye kitabu cha "is it possible?"

MeinKempf

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
11,092
Reaction score
7,236
Kuna vitabu mbali mbali vya riwaya tulivyobaatika kuvisoma pindi tulipokuwa vidato fulani vya sekondari,
kama ndivyo naomba tukumbushane baadhi ya matukio amabyo yalikukuna sana kiasi kwamba hujayasahau mpaka leo katika kitabu hicho cha IS IT POSSIBLE ?
Lengo hapa ni kukumbuka baadhi ya matukio yaliyogusa maisha yetu (hasa ya shule) ya kipindi cha nyuma tulipokuwa tukisaka tonge.
karibu kuchangia mawazo yako.
 
Attachments

  • hgju.jpg
    hgju.jpg
    3.8 KB · Views: 845
Nakumbuka nilisoma hiki kitabu nikiwa shule ya msingi nikakipenda sana kwa kiingereza chake rahisi na simulizi tamu ya Lerionka, nipofika sekondari kama form three nikashangaa kukikuta kwenye sylabus ya Literature. Ni moja ya Novels nazozipenda hadi leo!
 
wewe mwenyewe hujataja hata moja halafu unataka nani ataje?
 
kuna rafiki angu nlimuitaga Laleiyo hadi leo ndo jina lililozoeleka.
 
Mie nakumbuka tulitengeneza maelezo yafuatayo yakijumuisha vitabu kadhaa...
Is it possible for an An African child to cross the liver between the great pond while things are falling apart...?
No longer at easy.
 
dah nimekumbuka mbali sana, lerionka , karienkei

simulizi ya maisha halisi ya kijana wa kimasai mwenye uchu wa elimiu
 
Liver between mtunzi nani? kinafanana na the river between?
 
dah nimekumbuka mbali sana, lerionka , karienkei

simulizi ya maisha halisi ya kijana wa kimasai mwenye uchu wa elimiu

Je, wakumbuka alipokuwa kule shuleni na safari zake za kule porini? hakika ninakumbuka sana shule, darasa , wanafunzi wenzangu , walimu pamoja na mitihani ya literature.
 
Mie nakumbuka tulitengeneza maelezo yafuatayo yakijumuisha vitabu kadhaa...
Is it possible for an An African child to cross the liver between the great pond while things are falling apart...?
No longer at easy.
Duuuu... mlikuwa wabunifu wazuri sana.....
 
Nakumbuka nilisoma hiki kitabu nikiwa shule ya msingi nikakipenda sana kwa kiingereza chake rahisi na simulizi tamu ya Lerionka, nipofika sekondari kama form three nikashangaa kukikuta kwenye sylabus ya Literature. Ni moja ya Novels nazozipenda hadi leo!

Safi sana mkuu, nadhani pia umemkumbuka sana mwalimu wako wa somo la kiingereza.
 
Nakumbuka lerioka alipokuwa akimwambia mwanaye " my beat is bitter like the fruit of osokoni tree"
 
Mie nakumbuka tulitengeneza maelezo yafuatayo yakijumuisha vitabu kadhaa...
Is it possible for an An African child to cross the liver between the great pond while things are falling apart...?
No longer at easy.

hahaha! Dah! Nneipenda!!
 
Mie nakumbuka tulitengeneza maelezo yafuatayo yakijumuisha vitabu kadhaa...
Is it possible for an An African child to cross the liver between the great pond while things are falling apart...?
No longer at easy.
hahahaah umetisha hapo kwenye nyekundu
 
Back
Top Bottom