Naona una utani na mkapa!Du! Hata dalili ya kitambi hakuwa nayo mpaka anatoweka! Je kuna aliyepata kuona mwanasiasa wa TZ katika style inayofanana na hii bila kujali wakati?
Mkuu umeona swali langu penye tezt ya bluu?.
Du! Hata dalili ya kitambi hakuwa nayo mpaka anatoweka! Je kuna aliyepata kuona mwanasiasa wa TZ katika style inayofanana na hii bila kujali wakati?
Hii ni kielelezo halisi cha yote ambayo huyu jamaa amekuwa aki'preach maisha yake yote!
Mkuu inaonyesha picha hii umeihifadhi nyumbani mahala salama sana!
Viongozi wetu wa sasa vitambi ka nyumba, hakuna maadili, hakuna utaratibu wa ulaji chakula!..
nyama za mbuzi pale Dom-lete
bia za kila aina---lete
Dry drinks------lete
mataptap/chimpumu---lete (hasa wakati wa kuomba kura)
viswange--lete
kongoro---lete
Huh!....will these guys survive
nimecheka sana hii,wenyewe wakikusikia wataku JERRY MURO shauri yakoHii ni kielelezo halisi cha yote ambayo huyu jamaa amekuwa aki'preach maisha yake yote!
Mkuu inaonyesha picha hii umeihifadhi nyumbani mahala salama sana!
Viongozi wetu wa sasa vitambi ka nyumba, hakuna maadili, hakuna utaratibu wa ulaji chakula!..
nyama za mbuzi pale Dom-lete
bia za kila aina---lete
Dry drinks------lete
mataptap/chimpumu---lete (hasa wakati wa kuomba kura)
viswange--lete
kongoro---lete
Huh!....will these guys survive
Hii ni kielelezo halisi cha yote ambayo huyu jamaa amekuwa aki'preach maisha yake yote!
Viongozi wetu wa sasa vitambi ka nyumba, hakuna maadili, hakuna utaratibu wa ulaji chakula!..
nyama za mbuzi pale Dom-lete
bia za kila aina---lete
Dry drinks------lete
mataptap/chimpumu---lete (hasa wakati wa kuomba kura)
viswange--lete
kongoro---lete
Huh!....will these guys survive
So what are you trying to say Kichuguu?