Tujikumbushe kitu......!!

  • Thread starter Deleted member 421398
  • Start date
D

Deleted member 421398

Guest
Tatizo watu hamjaelewa kitu unajua elimu ya form 4 na 6 ukiwa na alama A A B A B A F au A B D kwa form 6 unapata cheti chako tena bila bugudha yoyote tatizo chuo kikuu ukipata alama D au wengine wanatumia sijui E yaani hupati degree unless ufanye supplementary au ucarry somo uondoe hiyo alama na iwe C au nyingine sasa usipohonga kuitoa hiyo D au E chuo kikuu unapataje cheti kwa mfano na hutaki mambo ya kukarry au supplementary
Elimu haidanganywi
 
Back
Top Bottom