Kaka memory card yako ina gb kubwa mno. Jukuwaa wakati ule lilikuwa tamu, unatafut rafiki online na
kuchat nae live. Mwenye matusi alikuwa anapuuzwa hadi anajirekebisha, Jukuwaa za sijui siasa au mapenzi zilikuwa hazipo. Unaaanzisha topic na watu husika sanachangia, zikaingia siasa zikatuharibu.
Haaa haa haaa! Mtu wa Pwani yupo, hupita akichungulia chungulia tu na hasa kwenye yale mabandiko yaliohusu Visiwani, ama nawe umepotea kiania fulani hivi...
​Pia enzi hizo za jambo forum kuliibuka matapeli kama Field Marshall ES na utapeli wake wa kutafutia wabongo kazi US ila mpaka kwanza ulipe dollar 300....teeehteeh.
enzi hizo natumia Id moja hivi ikiitwa .............
na naamini MSALANI Ritz ifweero na Simiyu Yetu walkuwa hajielew
Kuna mtu alikuwa anaitwa Mtindio wa ubongo hahahaaah!! Jamaa alikuwa mtata balaa, ila mpaka sasa yupo na ID nyingine.....
RIP Jibaba namkumbuka sana mshikaji si alikuwa UK? kifo chake kilisikitisha sana.Heheheh Mkuu Malafyale si useme tu tulikuwa watata!! Umenikumbusha mbali, akina frg, YournameIsmine, caddy, pinky, sweetNcute,hasheemThabit, cleopatra, na wengine wengi, then 2006 tukampoteza jibaba aliye kuwa ameuawa kinyama Brazil.
FGRT yuko wapi huyu bingwa? acha kabisa enzi zile ilikuwa raha sana ukiingia kwenye chat unatoka na chakula cha ubongo.Daaah najivunia kuwa mmoja watu wa mwanzo ku log in kwenye hizi social net works!
Enzi hizo MgonjwaUkimwi ni mtata kweli kweli na mwenzake fgrt ahahaha
MKuu umenikumbusha mbali sana DJ Sure alikuwa anatupa burudani kweli huku tuna chat Jambo radioKabla ya jambo forum kulikuwa na bsctimes, na kabla ya bsctimes kulikuwa na tanzanet, hizi zilikuwa forums zilizokwenda shule. Jambo radio kulikuwa na DJ Sure (if I remember correctly) pia tulikuwa tunaweza kusoma post au kujibu bandiko huku mziki unapiga. Kila ukikiingia Tanzanet ulitakiwa uandike "Subscribe" na "Unsubscribe" unapoondoka. Far we come from.
MKuu kumbe ulichukua moja kwa moja Tina? alikuwa na busara sana yule dada.Hongereni sana Kilakshari kapotelea wapi? na yule Tunu?Umewaacha akina Tanya,Tunu,Mrembo,Mizz,Horney na Tina aliyekuja kuwa Mke wangu mwema na Mama wa watoto wangu ahahahah!Anaye ilaumu jambo forum alaaniwe
Mkuu,Mi nipo,
Huwa nakuja nachungulia kama kuna kitu muhimu. Manase siku hizi ni habari za CHADEMA hiv mara CHADEMA vile mara CCM hivi, CCM vile. Yaani hao watu wameigeuza JF kuwa extension ya PR offices zao mpaka inakera.
So sometimes you just go back down memory lane, feel nostalgic and reminisce over the old JamboForums then move on.
By the way ingawa tunatumia virtual ID's, ila JF inakuwa kama vile mko shuleni, mkimaliza shule mkapoteana, inabaki kumbukumbu tu na nostalgia. Ndivyo ilivyo kuwakosa baadhi ya wenzetu wengi wa JamboForums ya 2006-2008 to mid 2009 in particular.
RIP Jibaba namkumbuka sana mshikaji si alikuwa UK? kifo chake kilisikitisha sana.
Aahaha Sweet,Mizz nawakumbuka
FGRT yuko wapi huyu bingwa? acha kabisa enzi zile ilikuwa raha sana ukiingia kwenye chat unatoka na chakula cha ubongo.
MKuu umenikumbusha mbali sana DJ Sure alikuwa anatupa burudani kweli huku tuna chat Jambo radio
MKuu kumbe ulichukua moja kwa moja Tina? alikuwa na busara sana yule dada.Hongereni sana Kilakshari kapotelea wapi? na yule Tunu?
MKuu kumbe ulichukua moja kwa moja Tina? alikuwa na busara sana yule dada.Hongereni sana Kilakshari kapotelea wapi? na yule Tunu?
Mkuu,
JF ya sasa haina mashiko hoja ni CCM na CDM na udini.Mimi siku hizi kusema ukweli JF sio source yangu ya news kama zamani na huwa naweza kumaliza hata miezi miwili sijaingia JF.Hamna jipya.I really miss Jambo forum