Kulikuwa na mwanachama mmoja Brazameni Sijui alienda wapi tena; topiki zake zilikuwa skewed upande mmoja tu na akawa anajua sana kuzijengea hoja na kuzitetea, tena kwa kistaarabu sana.
Wakati youngafrican ilipokuwa inakufa, bsctimes ikaibuka, lakini kabla ya hapo kulikuwa na kiwanja kama nyenzi, africaonline na vingine kadhaa... Hata ujio wa Jamboforum wengi walikuwa wakipita kule Gumzo na bsctimes. Data zilikuwepo za kumwaga... na utani wa hapa na pale.
Haaa haa haaa! Mtu wa Pwani yupo, hupita akichungulia chungulia tu na hasa kwenye yale mabandiko yaliohusu Visiwani, ama nawe umepotea kiania fulani hivi...Isingekuwa jina mkubwa mbona ningekusahau! Manake nilizoea ile avatar ya Rangi ya chama. Mtu wa Pwani yupo?
Mkuu bado upo kumbe...kitambo sijakuona bora ulivyoitwa huku...Jibaba gani alipotea brazil?alikuwa member hapa? Tukumbushane broHeheheh Mkuu Malafyale si useme tu tulikuwa watata!! Umenikumbusha mbali, akina frg, YournameIsmine, caddy, pinky, sweetNcute,hasheemThabit, cleopatra, na wengine wengi, then 2006 tukampoteza jibaba aliye kuwa ameuawa kinyama Brazil.
Heheheh Mkuu Malafyale si useme tu tulikuwa watata!! Umenikumbusha mbali, akina frg, YournameIsmine, caddy, pinky, sweetNcute,hasheemThabit, cleopatra, na wengine wengi, then 2006 tukampoteza jibaba aliye kuwa ameuawa kinyama Brazil.
Mkuu bado upo kumbe...kitambo sijakuona bora ulivyoitwa huku...Jibaba gani alipotea brazil?alikuwa member hapa? Tukumbushane bro
Jibaba aliyekuwa na mitala jambo forum kwa wa Horny wa Dar na Mrembo kwa UK!Jibaba aliyekuwa rafiki wa Gendaeka!
Alipigwa risasi Brazil na mwenzake Misso,ulikuwa msiba mkubwa hapa
Mkuu upo hapa tangu 2006
hivi kweli umepoteza kumbukumbu hivyo?....Come..on bwana tunakusubiri
"shake before use".
​Pia enzi hizo za jambo forum kuliibuka matapeli kama Field Marshall ES na utapeli wake wa kutafutia wabongo kazi US ila mpaka kwanza ulipe dollar 300....teeehteeh.