ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,872
Mitihani ya imla, na madaftari ya mistari mikubwa na midogo. Maticha wanoko dunia nzima mixer na kutafuta maksi kwenye somo la sanaa.
Mkuu shule gani hyo? kama tulikuwa wote vile.
Nakumbuka kitabu cha
Juma na Loza
..something Pazi aaagh nimeshaanza kusahau
Sent from Nokla using Jf app
We Kweli ulikuwa kilaza ni pazi na jogoo hiyo adith ilinifanya nikitoka xuli saa 4 naogopa kupita sehem wanayofuga kuku ,ni kashai p school bukoba hapo na rumuli shule ya msingi,nalikumbuka jamaa Moja linaitwa bigambo lilinionea sana matichawangu kama karumuna mkali wa stiki huyo pia Mwl jaalia(rip) kanichapasana.

unantaftia ban we fa.la? kwani mi nimesema Juma na Roza ni mtaa?
Aisee walimu wakienda kuchukua mishahara,,raha sana. Full kuchezaSiku nzuri ilikuwa siku ya mshahara, maticha wote out Wilayani, sisi tunabaki ni fujo mtindo mmoja.
Mambo ya kushtakiana kwa mwalimu eti amenifanya matusi, kisa umempamia wakati wa kuingia darasani mkiwa mmebanana yalikuwa yananichapisha fimbo kwa sana.
ππππKulikuwa na mambo ya kuchagua gari langu, basi siku tumetoka shule tumeshagawana magari; kwamba lile la kwanza kuja litakuwa la A, la pili litakuwa la B hivyo hivyo mpaka mtu wa mwisho. Hii inakuwa wakati wa kutoka shule ile jioni.
Basi jamaa aliyekuwa namba 2 kwenye kuchagua gari lake likawa baya, akaja akang'ang'ania gari la mtu wa 3 ili yule wa 3 achukue lile la 2 baya, weeee! Mkono ukaibuka kwamba jamaa amemwibia gari, pigana pigana mpaka ticha akatufikia, kuulizia ile kesi sasa ticha alichoka mwenyewe maana hata magari yenyewe yameshapita hata hayaonekani.
Ilibidi kesho yake tuchapwe mstarini kwa kucheza michezo ya kijinga, lakini hatukukoma kugombea magari.