mgusi mukulu JF-Expert Member Oct 24, 2013 715 680 Nov 19, 2017 #1 Nimeangalia hii video nimepata hasira za ghafla. Attachments 5ae02413cb38eea33c5ba47d0a27b4e5.mp4 3.8 MB · Views: 60
Kanye2016 JF-Expert Member Jun 4, 2016 2,474 2,445 Nov 19, 2017 #3 Halafu mtu mbele ya hadhara kabisa anataka wananchi wamuombee kwa mungu asivyokuwa na aibu.
N niah JF-Expert Member Sep 26, 2015 7,010 9,257 Nov 19, 2017 #4 Only in Tanzania force. Mungu alivyomkuu wanaweza kuzaa watoto kama hao wanaowapiga. Laana iwe kwao hao waliowatuma.
Only in Tanzania force. Mungu alivyomkuu wanaweza kuzaa watoto kama hao wanaowapiga. Laana iwe kwao hao waliowatuma.
gollocko JF-Expert Member Dec 20, 2011 2,945 2,275 Nov 19, 2017 #5 Ila watanzania sie, ni wapole mpaka tumekuwa kama mazezeta, hakyamungu ingekuwa nchi za wenzetu hao askari wangekuwa jera tena walemavu
Ila watanzania sie, ni wapole mpaka tumekuwa kama mazezeta, hakyamungu ingekuwa nchi za wenzetu hao askari wangekuwa jera tena walemavu