TUJIKUMBUSHE KIDOGO MACHUNGU

mgusi mukulu

JF-Expert Member
Oct 24, 2013
715
680
Nimeangalia hii video nimepata hasira za ghafla.
 

Attachments

  • 5ae02413cb38eea33c5ba47d0a27b4e5.mp4
    3.8 MB · Views: 60
Halafu mtu mbele ya hadhara kabisa anataka wananchi wamuombee kwa mungu asivyokuwa na aibu.
 
Only in Tanzania force. Mungu alivyomkuu wanaweza kuzaa watoto kama hao wanaowapiga. Laana iwe kwao hao waliowatuma.
 
Ila watanzania sie, ni wapole mpaka tumekuwa kama mazezeta, hakyamungu ingekuwa nchi za wenzetu hao askari wangekuwa jera tena walemavu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom