Tujikumbushe kidogo enzi za Darasa la 7

Tujikumbushe kidogo enzi za Darasa la 7

mt.j

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2014
Posts
284
Reaction score
282
Wakati ule kulikuwa na mbinu nying sana za kuibia mtihani tofauti na miaka hii njia moja wapo zilikuwa kama hizi kama jibu namba moja ni si mwalimu alikuwa anashika skio kama jibu ni B ana shika ka pua kama anapenga, ilikuwa inachukua mda lakini ndo pepa ilikuwa inaibiwa shule zingine walikuwa wanapigia ngoma ukisikia mdundo mmja unajua jibu ni A kama jibu ni B anapiga ngoma mara 2.

Naona mambo yamebadilika siku izi hebu walio pitia haya maujuzi watupe mbinu za kipindi kile.

Uzi huu sio kwa ajili ya kufundishwa wizi wa mitihani ni kujikumbusha tulipo toka

#lasabaly.
 
Bahati mbaya au nzuri nakumbuka mbali na msimamizi kulikuwa na polisi watatu hivyo sidhani kama huo mchezo ulikuwepo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom