Tujikumbushe Kauli tata katika kampeni

JAMANI wako wapi hawa akina :
1. Ole Sendeka? anastahili kupewa kadi ya cdm atakuwa mpambanaji mzuri.
2. Stephen Wasira? slaa kaiba pesa za kanisa!!!! cjui kwa nini anamchafua maskini wakati si mgombea!!!!! apunguze
kulala bungeni.
 
JAMANI wako wapi hawa akina :
1. Ole Sendeka? anastahili kupewa kadi ya cdm atakuwa mpambanaji mzuri.
2. Stephen Wasira? sla:high5::A S angel:a kaiba pesa za kanisa!!!! cjui kwa nini anamchafua maskini wakati si mgombea!!!!! apunguze
kulala bungeni.
 
Ubaya wa kauli chafu zikishatoka kinywani hazisafishiki tena! Sijuwi watu wataweka wapi sura zao maskini!
 
kauli za kina alsahafu zingine hz.... sasa hv ni saa 12 asubuhi viwanja vya kingori tayari vimeshajaa malaki ya watu yameshafika na malaki mengine yanaendelea kuingia ni kama chadema ishakufa....
 
JAMANI wako wapi hawa akina :
1. Ole Sendeka? anastahili kupewa kadi ya cdm atakuwa mpambanaji mzuri.
2. Stephen Wasira? slaa kaiba pesa za kanisa!!!! cjui kwa nini anamchafua maskini wakati si mgombea!!!!! apunguze
kulala bungeni.

wale walifuata posho za kampeni tu hawakuwa na chochote walichokiandaa
 
Ubaya wa kauli chafu zikishatoka kinywani hazisafishiki tena! Sijuwi watu wataweka wapi sura zao maskini!

Kama Lusinde ndo basi amalizie kipindi chake lakini ubunge tena asahau(ila ndg zetu wagogo nao huwezi kuwawekea dhamana)
Mkapa kaamsha yaliyolala sasa yanampa mastress na pressure
Mwigulu anazidi kushuka chati
EL akaunti inazidi kubonyea
 
kauli za kina alsahafu zingine hz.... sasa hv ni saa 12 asubuhi viwanja vya kingori tayari vimeshajaa malaki ya watu yameshafika na malaki mengine yanaendelea kuingia ni kama chadema ishakufa....
aiseejamaa wanajua kuremba picha na kuzodoa...maana walisema watu wanaenda kushangaa chopa
 
Ccm wanapeleka tyson kwenye kampeni? Watz sio wajinga hivyo mpaka kumsikiliza sokwe mtu.
 
Nitatembea uchi kuanzia posta hadi kimala mbezi. Leo nimeshinda barabarani sijaona k2.
 
Back
Top Bottom