Tujikumbushe ILBORU

Kwako waziona pumba! But kwa mtu yoyote aliyespecial lazima akubaliane na mimi. Huwezi kukuta special student anasupport chama kisicho na msimamo, kisicho na mwelekeo, kinachomilikiwa na dini fulani na kabila fulani.
 

dah mkuu Yo Yo hiyo kambi nimepita pale 1999 enzi za Juma Wasi wasi, vp unamkumbuka mama pendo alikua akiuza maandazi, afu kuna yanki mmoja walikua wanamuita James Chiggs jamaa alikua celebrity, na pale shop barabarani palikua maarufu xana.
Nakumbu admin block yale maneno DOCEBIT VOS OMNIA. Kitambo sana mkuu.
 
Pugu boys wazee wa fungus!maana mkandawile alikuwa anawaita fungusboy!
Hivi mkandawile yupo wapi?

ila sisi mkuu tulikua hatupati tabu mana kulikua na mademu pale walikua wanasoma mchana saa 8 mpaka 12 walikua wakiitwa taasisi ila later ilifutwa.
Fungus tulikua tunaita saini ya pugu.
Mkuu ulipita mwaka gani pale?
 
ila sisi mkuu tulikua hatupati tabu mana kulikua na mademu pale walikua wanasoma mchana saa 8 mpaka 12 walikua wakiitwa taasisi ila later ilifutwa.
Fungus tulikua tunaita saini ya pugu.
Mkuu ulipita mwaka gani pale?

Acheni kuchakachua hii thread! Hii ni exclusive kwa wana Ilboru tu aka special students aka vipaji maalum. Mambo yenu ya Pugu na fungus zenu yaanzishieni li sredi lake!
 

Ai! mlikuwa mkiimba eeh! I can only imagine misauti ya wanaume wasomi
Weruweru tuliwakuwa tunawapenda sana wavulana nyie!!
 
Kama upo kwenye hiyo rum komaa mdogo wangu! Ina historia kubwa sana! Miaka yetu kwa miaka 3 mfululizo TO alikuwa anatoka run one

Mwaka wetu TO ni rum 4 hiyo rum 1 ilijaa mashalobalo tu.
 
Don't you remember Ekenywa? Kishuu or Bwashee on the way to Ilkiding'a/Olturoto? I miss thise good days with Bino and Mzulu? Those were the first days of Special school.
 
Hakika ni jambo la kujivunia kusoma ktk skul hii,kwa mazngira now ipo poa na mkuu 2liyenaye n jembe mwanzo mwsho,per4mance ipo njema vijana wanafanya kazi yao......TEGO-DSTV kwakwenda mbele, Oldonyo na Rungwe domz zmekarabatiwa kwa msaada wa Mzee Mengi, gari la shule nw n Land cruise Gx kama za wakurugenzi wa wilaya af kwa kipnd hk xul ipo kwenye mtandao wa British council,yote na yote Ilboru ni mahali pa kipekee sana ingawa kuna walimu flanflan wana mambo ya ajabu xana bifu zao na mkuu wa shule wamezihamishia kwe2. Na wale walo pgwa pnd na Mushi(if we must die) nw hafundshi cz HGL CX WAlimkataa
 

Aisee pigeni buku hapo. Tupo pamoja nanyi. Wasalimie sana wazee wa chui na kitei. Merkizedeki (mpishi) yupo bado?
 

Lord have mercy!!! Nakulilia Ilboru kama ndio product zilizobaki kwakweli........... THIS SOUNDS MORE LIKE DARASA LA SITA SHULE YA MAVURUNZA AISEE

ILBORU INA HESHIMA KUBWA SANA DOGO, HEBU RUDISHA HESHIMA YA SHULE YETU AISEE
 
Duh!!! Kama hali ni hii kweli Iboru yetu imeshaharibika!!
Chief angekuwepo haya tusingeyaona!!!
 
Lord have mercy!!! Nakulilia Ilboru kama ndio product zilizobaki kwakweli........... THIS SOUNDS MORE LIKE DARASA LA SITA SHULE YA MAVURUNZA AISEE

ILBORU INA HESHIMA KUBWA SANA DOGO, HEBU RUDISHA HESHIMA YA SHULE YETU AISEE

Dogo anagaragaza p la Ilboru hivi hivi.Angemwomba Regina amsaidie kuchapa. "Shule yangu Ilboru inasifika sana,...." Halafu this dayz madogo wanafeli sana sio Ilboru ya miaka ile 2002<
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…