Tujikumbushe ILBORU

Tujikumbushe ILBORU

Rejao=>Mwigulu Nchemba? From Ilboru to Mazengo high school?
 
Kumbe unaweza ukawa umesoma high school kama Rejao ikawa hasara tupu? Jamani Rejao badilika humu jamvini acha kuandika kama unafikiri kwa masaburi.
Ilboru ndio imenijenga..imenifikisha hapa. Huoni mawazo yangu yamekaa kispecial special?
Nawashangaa sana wana alumni wa Ilboru mnaowashabikia CDM ambayo haina kiongozi hata mmoja aliyesoma Special school
 
Da! Sikujua kabisa kama Rejao atakuwa amepita pale kwa kina Chief, Kite, Mswahili aka Shembilu(RIP) Baba chacha a.k.a Mugaya(RIP) then comment zake zimekaa ki- STD V-B!! Badilika bana bro!!
Kumbe na wewe kipaji?
Yaelekea ulikuwa unashinda umenyeni.
 
Rejao=>Mwigulu Nchemba? From Ilboru to Mazengo high school?
Huyu jamaa dogo sana..
Ndio nilimkaribisha kwenye chama.
But he is doing grt. Nafikiri mmeona anayoyafanya Igunga
 
E
Kumbe na wewe kipaji?
Yaelekea ulikuwa unashinda umenyeni.

Kumbe si kosa lako, utakuwa ulikuwa una 'bundi' sana chemba, ndo maana uwezo wa kufikiria umepungua kiasi hicho! Hukuwa na muda wa kwenda kureflesh Uper pitch, umenyeni, enaboishu au ngalenaro kwa father babu!
 
Hahah..kweli wewe ulikuwa mzee wa umenyeni!
Mgaya(RIP) kanipigisha kwata sana pale pitch.
Hivi sasa hivi shule ina hali gani? Naona performance yake kwenye recent yrz siyo nzur
 
Hapa ndipo au sipo washkaji?

n1246250343_30239294_2676.jpg

Wow thats the place ahsante mkuu Ab-Titchaz, I enjoyed the school nilikua nasomea pale New Assembly kuna vyumba mle ndani yaan ilikua raha sana.
 
Hii hapa inanikumbusha rum one aka the onerz!!
Nimewamiss sanaaaa..tulikuwa wazee wa kolabo. Kitei cha mama mchungaji tulikuwa tunakihusudu sana.

Rejao na wewe umepitia pale kwa Wataalam Bingwa? Angalia heading vizuri isije ukawa Umechanganya na Imboru ha ha ha
 
Ilboru ndio imenijenga..imenifikisha hapa. Huoni mawazo yangu yamekaa kispecial special?
Nawashangaa sana wana alumni wa Ilboru mnaowashabikia CDM ambayo haina kiongozi hata mmoja aliyesoma Special school

acha uongo tundu lissu kasoma ilboru
 
aisee sisi sasa hivi ilboru tumebadilisha vifupisho vufuatavyo
KITEI=kipunga iva tuendeleze elimu ilboru
KUKU=Kalale Upunguze Kipaji Ulichonacho
Na siku hizi ukishikwa unaoga chini ya daraja ni noooma pia tuna headmaster mpya aitwae mutabuzi na chief pia ashahama siku nyingi
 
Daaa rejao na wewe ulikuwa room one?....hiyo ndo room yangu kwa sasa bhana
Kama upo kwenye hiyo rum komaa mdogo wangu! Ina historia kubwa sana! Miaka yetu kwa miaka 3 mfululizo TO alikuwa anatoka run one
 
Dah Msando umenikumbusha mbali kweli, hasa ulivyomdefine chief. Nasikia siku hizi ni headmaster maeneo fulani ya umenyeni, jamaa alikuwa katili balaa,hasa ile style yake ya kuwalaza kwenye nyasi zenye unyevunyevu huku umejifunika shuka.
 
Da usikonde ndo hivo tunakomaa kiubishi round ya mwisho hii

Tatizo Madogo siku hizi Usharobaro Mwingi Koma Mdogo wangu Room One ina Historia Mbaya sana Ungekuwa Room Three au Four Ningekuwa na Matumaini na wewe ila Room One aaa mara Nyingi wanaishi washambawashamba na wamenye ha ha ha
 
Hii hapa inanikumbusha rum one aka the onerz!!
Nimewamiss sanaaaa..tulikuwa wazee wa kolabo. Kitei cha mama mchungaji tulikuwa tunakihusudu sana.

Kwa mbali naona school chapel, mahali tulipokuwa tunakusanyika na kumwomba Mungu atufanikishe kwenye mitahani na maisha kwa ujumla, kweli Mungu si dhalimu wengi ametuweka pazuri.
 
Duuh nimekumbuka zamani kidogo.

Elboriasiss bundiata - hii ilikuwa scientific name ya wana ilboru ( au ILBOYS) siunajua mabundi hawalali.

Munakumbuka Ile njia ya Midizini waalimu wote waliiogopa isipokuwa CHIEF pekeyake na akikukamata umekwisha. Lakini wenginie tulimjua mpenda sifa ukimsifia anakuacha mf. Duuh Mwalimu wewe noma yaani umenikamata mimi sijawahi kukamatwa anakuachia uondoke
 
Back
Top Bottom