Tujikumbushe hii ya Amina Chifupa

Status
Not open for further replies.
ahsante daima tutamkumbuka da yetu
 
Hivi mwenyekiti wa CCM na katibu wake wakati huo walikuwa akina nani? Naona hata kiongozi wetu mkuu wa chama chetu cha kizalendo yumo akidaiwa kulifaidi penzi la nke wa ntu. Hizi deshi deshi msiweke tajeni tu majina!

Mods wa sasa jf ni wakali ukitaja tu jina kwenye hizo desh desh utapigwa ban ,yaani hautaamini ,utashangaa na roho yako yaani ukimtaja msaliti tu unapewa kifungo kitakatifu
 
Amina alipanda haraka sana,kuonyesha kulikuwa na shida ktk mbinu zake.Alipanda haraka kwa vigezo zilivyozunguka ktk mila na historia za familia,umaarufu wake ktk media,na michepuko iliyoegemea ktk ktk kupeand umaarufu na watu wenye issues ktk jamii, ghafla hakuwa na msahuri mwenye uwezo,au aliyejua undani na patterns za maisha yake,pia uwezo wa Amina na jamii yake haukuwa mkubwa kuwezo kuweza handle umaarufu uliokuja ghafla na uliokuwa ukiyumbayumba.Who knows km ni spirits za kwao,spirits za nguvu zilizompaisha,mahusiano yake ya kingono,kikazi na hata kuingia ktk magenge mabaya..
 

Hawa na-DC wa JK ni shiiidaa na mbumbumbu mzungu wa reli!

Hivi huyu Muhingo hajui kwamba sheria za nchi zinakataza mtu kufanya mapenzi na mwanafunzi?

Hivi huyu Muhingo hajui kwamba sheria za nchi zinakataza mwanaume kumuoa mwanafunzi?!

Hivyo Muhingo alifikiri kwamba Amina akijitetea kwamba kwa kuwa Mpakanjia alimuingia kwa gia ya kumuoa na yeye ni MUISLAMU basi huo utetezi utakubaliwa?

Kwanza mimi naona Muhingo kwa ushauri wake amewatukana Waislamu, yaani wao ni watu wa kuolewa olewa hata kama ni wanafunzi, elimu kwao haina maana kama kuolewa?

Utetezi wa kijinga sana aliompatia Amina na waalimu wa Tambaza walikuwa sahihi 100% kabisa kumfukuza shule Amina.
 
Kwanza kutaka kutaja tu hata jina halisi naogopa kwenda ban. Gonjwa hili limezua kizaazaa gumzooooo.......

kwa mabronzo,masistaduu,machizi,walimu na wanafunzi ni kazeeeee,mtandao ni mpana,nakumbuka Zana Za Kilimo na Sepetunga walikuwa wakijivinjari hotel ya mwenge,sepetunga kaenda kwa ndomo,ndomo kwa zali la mentali,sepetunga kwa freemason,freemason kwa madini,madini kwa mabilionea wa arusha,ni kazeze ni kazeze.
 
Kwa hiyo na mume wake nae alikuwa depressed?

Walau mwandishi huyu hajasema amina kauawa as in murdered. Kauawa kisaikolojia. Na kwa sababu alikua na ule ugonjwa (kama alivyokuwa mumewe) stress ambayo haikufanyiwa kazi ilimharakishia safari.
Inauma sana coz muda mfupi baadae mume naye alifariki, Na -------- alihusika kuvunja hii ndoa
 

Mkuu kwahiyo unamaanissha mh zito na yeye atakufa / ameathirika? kwa mujibu wa maelezo yako aya tukijumlisha na maelezo ya mleta hoja,kwa kumhusisha mh zito kuwa na mahusiano na mh amina chifupa.Ufafanuzi please!!!!!
 
Kwa hiyo na mume wake nae alikuwa depressed?

Walau mwandishi huyu hajasema amina kauawa as in murdered. Kauawa kisaikolojia. Na kwa sababu alikua na ule ugonjwa (kama alivyokuwa mumewe) stress ambayo haikufanyiwa kazi ilimharakishia safari.

Ni kazeze ni kazeze.

Cc: Asha Bui.
 
Mkuu kwahiyo unamaanissha mh zito na yeye atakufa / ameathirika? kwa mujibu wa maelezo yako aya tukijumlisha na maelezo ya mleta hoja,kwa kumhusisha mh zito kuwa na mahusiano na mh amina chifupa.Ufafanuzi please!!!!!

Ufafanuzi gani unahitaji? 2007 ulikuwa jela? Story za shigongo kuhusu jamaa kuvunja ndoa haujaziona? Kama AC/Mpakanjia walikuwa na kazeze basi na jamaa kama alipiga naye kazeze inamhusu.
 
Ngoma mbaya sana, imeua watu wengi wenye dream nzuri za maisha.
Msururu wa viongozi waliofuata kufa baada ya Amina ni mkubwa sana. Tuliwaona wengi wakienda kwa Babu Loliondo ili kupata tiba ya faster faster.
Nimeshangaa kuona mpaka mfalme Zitto naye anatajwa kuwa alikuwa anamlamba Amina Chifupa. Sasa sijui kama alikuwa anatafuna Live au recorded.
 
Kwa hiyo nao waliompokea makongo ilihali wakijua alikuwa na skendo ya kukwiba Mme wa MTU walikosea hivyo ilitakiwa asipatiwe Huduma ya masomo?
 

Mkuu funguka,haya mambo ya kuficha ficha ndio yanazidi kuliangamiza taifa,kwa mfano kiongozi mkuu watu washajua kama alimlamba AC,kwahiyo mabinti watakua wanaenda nae kwa recorded lkn tukificha atawaumiza mabinti wengi,uganda waliweza kupunguza rate ya maambukizi ya kazeze kwa 7bu walikuwa wanatangaza live kwamba flani kafa kwa minyenyere so watu wanakuwa wanajua hadi wapenzi wake watakuwa na miwaya na ilisaidia sana.
 

Huwezi jua labda alikuwa anatumia Zuma stail. Unachova tu unawahi bafuni kuoga
 
Huyu ndio unafiki namba one tuseme tu alikufa kwa upungufu wa kinga mwilini.
 
Mkuu kwahiyo unamaanissha mh zito na yeye atakufa / ameathirika? kwa mujibu wa maelezo yako aya tukijumlisha na maelezo ya mleta hoja,kwa kumhusisha mh zito kuwa na mahusiano na mh amina chifupa.Ufafanuzi please!!!!!

Huogopi kutaja hilo jina? Maana mods wanalilinda kama mboni
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…