Hivi mwenyekiti wa CCM na katibu wake wakati huo walikuwa akina nani? Naona hata kiongozi wetu mkuu wa chama chetu cha kizalendo yumo akidaiwa kulifaidi penzi la nke wa ntu. Hizi deshi deshi msiweke tajeni tu majina!
Muhingo Rweyemamu on Aminas Death
nataka
niwaeleze kwamba Amina alikuwa rafiki yangu na mshauri wake. Siku
alipopata
matatizo ya kuanzisha urafiki na mume wa mtu mwaka 1999 wakati huo
akiwa
Tambaza kidato cha tano, mimi na aliposongwa na mashutumu na majaribu
mengi, mimi na mwandishi mwenzangu, Absalom Kibanda, ndiye tulimpa
ushauri
wa kuwaambia walimu wake. Tulimshauri akubali na awaeleze kuwa yule
mwanaume alimuingia kwa gia ya kutaka kumuoa. Akasema yeye kama
Mwislam,
hakuwa na kipingamizi. Amina alitoa sababu hizo shuleni, wakazikataa.
Akaenda shule ya private ya Makongo. Wakati tunamshauri, alikuwa
akifanya
kazi ya utangazaji pale Clouds FM.
Kwanza kutaka kutaja tu hata jina halisi naogopa kwenda ban. Gonjwa hili limezua kizaazaa gumzooooo.......
Mama Rahman. Sijui Rahman anaishi vizuri?
Inauma sana coz muda mfupi baadae mume naye alifariki, Na -------- alihusika kuvunja hii ndoa
Gwajima alisema atamfufua,ngoja tusubiri
Mhariri amehemkwa na urafiki baina yake na Amina chifupa.
Amina hakuwa mwadilifu hata kidogo, kitendo cha kupewa talaka kinamuondolea sifa njema kwa jamii hivyo hafai kupigiwa mfano mwema.
Alianza ubaradhuli toka akiwa masomoni sekondari, inaonekana alikuwa na pepo la ngono.
Kama kinga ya mwili wake ilipungua na kupelekea kifo chake basi msitafute magonjwa yenye heshima ili kumsitiri, msongo wa mawazo hauambukizi, iweje mpakanjia nae apungukiwe kinga ya mwili?
Au mnaona noma kusema aliugua upungu wa kinga mwilini, sababu kuu ikiwa kuendekeza Ngono (reference ni sababu za talaka kwa Mpakanjia)
Msimsifie Amina Chifupa kwa sifa asizostahili.
Kwa hiyo na mume wake nae alikuwa depressed?
Walau mwandishi huyu hajasema amina kauawa as in murdered. Kauawa kisaikolojia. Na kwa sababu alikua na ule ugonjwa (kama alivyokuwa mumewe) stress ambayo haikufanyiwa kazi ilimharakishia safari.
Mkuu kwahiyo unamaanissha mh zito na yeye atakufa / ameathirika? kwa mujibu wa maelezo yako aya tukijumlisha na maelezo ya mleta hoja,kwa kumhusisha mh zito kuwa na mahusiano na mh amina chifupa.Ufafanuzi please!!!!!
Kwa hiyo nao waliompokea makongo ilihali wakijua alikuwa na skendo ya kukwiba Mme wa MTU walikosea hivyo ilitakiwa asipatiwe Huduma ya masomo?Hawa na-DC wa JK ni shiiidaa na mbumbumbu mzungu wa reli!
Hivi huyu Muhingo hajui kwamba sheria za nchi zinakataza mtu kufanya mapenzi na mwanafunzi?
Hivi huyu Muhingo hajui kwamba sheria za nchi zinakataza mwanaume kumuoa mwanafunzi?!
Hivyo Muhingo alifikiri kwamba Amina akijitetea kwamba kwa kuwa Mpakanjia alimuingia kwa gia ya kumuoa na yeye ni MUISLAMU basi huo utetezi utakubaliwa?
Kwanza mimi naona Muhingo kwa ushauri wake amewatukana Waislamu, yaani wao ni watu wa kuolewa olewa hata kama ni wanafunzi, elimu kwao haina maana kama kuolewa?
Utetezi wa kijinga sana aliompatia Amina na waalimu wa Tambaza walikuwa sahihi 100% kabisa kumfukuza shule Amina.
Ngoma mbaya sana, imeua watu wengi wenye dream nzuri za maisha.
Msururu wa viongozi waliofuata kufa baada ya Amina ni mkubwa sana. Tuliwaona wengi wakienda kwa Babu Loliondo ili kupata tiba ya faster faster.
Nimeshangaa kuona mpaka mfalme Zitto naye anatajwa kuwa alikuwa anamlamba Amina Chifupa. Sasa sijui kama alikuwa anatafuna Live au recorded.
Ngoma mbaya sana, imeua watu wengi wenye dream nzuri za maisha.
Msururu wa viongozi waliofuata kufa baada ya Amina ni mkubwa sana. Tuliwaona wengi wakienda kwa Babu Loliondo ili kupata tiba ya faster faster.
Nimeshangaa kuona mpaka mfalme Zitto naye anatajwa kuwa alikuwa anamlamba Amina Chifupa. Sasa sijui kama alikuwa anatafuna Live au recorded.
Asante. Umetiririka vizuri.
Funguka mkuu ..... Nani vileeee? Jina lake lina kuja nikitaka kuandikaa Lina poteaa ebu nisaidieee please ....
Mkuu kwahiyo unamaanissha mh zito na yeye atakufa / ameathirika? kwa mujibu wa maelezo yako aya tukijumlisha na maelezo ya mleta hoja,kwa kumhusisha mh zito kuwa na mahusiano na mh amina chifupa.Ufafanuzi please!!!!!