orthogonal
Member
- Aug 9, 2016
- 99
- 133
Upande wa Kiss kuna yule jamaa thoby splash, alikuwa na base, hiyo base yake alikuwa ananata na lugha ya malkia mpaka unatamani jamaa aendelea kuongea tu.
dah very sad,Joachim alifariki aisee miaka kadhaa sasa
Huyu si ndio Alex Ngusa MatarangeLazaro matarange
Clouds fmWatangazaji walikuwa poa fred waaaa yupo yupo saa hz
Dah African beat top ujazoWapi Sharubano Aboubakar "sherry' pamoja na DEE7 na kipindi chao cha African beats KISS fm