Tujikumbushe hawa watangazaji wa redio free RFA

Mkuu sijaona JB Juma balagaza ilA umejitahidi sana afu kulikua na mmoja jina la Baba yake alikua anaitwa mfinanga(ke) na mwingine K2 the B Kill boy Salumu sandu
Sio kill boy ni Kid bway kamtaja kwenye list yupo namba 6 afu pia namba 37 kamtaja Juma balagaza
 
Duu Tobby chewe umenikumbusha mbali sn Mkuu.
Jamaa alikuwa mzambia kama sikosei.
Kumsikiliza tu jioni ktk Kiss drive time ilikuwa raha sana.
 
Alifariki
537859_452189094829875_68038882_n.jpg
 
Mkuu sijaona JB Juma balagaza ilA umejitahidi sana afu kulikua na mmoja jina la Baba yake alikua anaitwa mfinanga(ke) na mwingine K2 the B Kill boy Salumu sandu
Joyce Mfinanga Basie yupo Sahara media anaripoti kutokea Dodoma
 
Back
Top Bottom