Tujikumbushe formular mbali mbali za hesabu

Ha ha haaa hata sisi ilikuwa hivyo kichwa cha mathe kikiomba 4figure basi class zima tunaomba 4figure hata kama hujui tumizi lake,..woiii
 
Sijawahi kusikitika kwa kupata sifuri hesabu, mambo ya sin, cos, tan mwalimu ata afundishe vipi sielewi [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56], huwa namuangaliaa [emoji41][emoji41] halafu nacheka tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
hhhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa tokomeza zero
 
Sijawahi kusikitika kwa kupata sifuri hesabu, mambo ya sin, cos, tan mwalimu ata afundishe vipi sielewi [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56], huwa namuangaliaa [emoji41][emoji41] halafu nacheka tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Unamcheka namna hii hiiiiiiii hiiiiiiii alafu pepa lake likija unasolve maswali yote lakini ni buyu tu humo.
 
Mie nilikuwa najibu maswali ya mwanzo tu yenye kujumlisha na kutoa kisha naacha, muda ukifika naends kukusanya pepa natoka zangu nje. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…