Tujikumbushe baadhi ya Ndege za ATC zamani

Tujikumbushe baadhi ya Ndege za ATC zamani

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
17,071
Reaction score
63,256
Huko zamani tumewahi kuwa na madege makubwa, boeing na Airbus.
Air_Tanzania_Airbus_A320.jpg
images (5).jpg
images (4).jpg
images (1).jpg
unnamed.jpg
images.jpg

Je tulikwama wapi?
Zilitusaidiaje?
 
Tulikuwa mbali sana!! Ilikuwaje tukarudishiwa za pangaboi?? Wataalamu wetu walikuwa wanafikilia nini?
 
Aliyefiris mashirika yetu ya umma ipo cku
 
Kuna mti amebadilisha design ya Air Tanzania.
Zamani ilikuwa na rangi tofauti na sasa kwenye madiriaha kulikuwa na mistari kuzunguka na ikipendeza sana.
Sasa je nani alibadilisha kwa maslahi ya nani?
 
Kumbe tulikuwa tuna vyombo bana sasa nauliza ziliishia wapi ata spare hazionekani wasijulikana wepi walipita nazo.

Ila hii serikali ya CCM ngoja ninyamaze tuuu nasubiria mapato na matumizi ya boieng 787-8 tutakuja yahoji hapa
 
Hizo ndege tulizipata baada ya kuvunjika kwa EAC ila hatukuzinunua
 
Hizo ndege tulizipata baada ya kuvunjika kwa EAC ila hatukuzinunua
Zilinunuliwa. Baada ya ukavunjika East African Airways tulirithi DC-9-32 kutoka East Afican airways na twin otters 2 ambazo tuliziuza British Midlands kwenye miaka ya 80 na pia tulirithi F27mk 200 mbili.
Shirika lilianza kwa kununua B737-200 mbili. Twin otter mbili Fokker friendship mk600 nne zilinunuliwa na utawala wa awamu ya kwanza.
 
Niliwahi kupanda air bus kutoka Mwanza kwenda Dar. Kilichonifurahisha, tuliambiwa free seat.
 
Hivi tunaenda mbele au tutarud nyuma toka kitu cha engine za kisasa kuja kwenye mapanga shaa kweli watz wote tunatakiwa kufikiria mara mbili huwezi jisifu Kwa kununua baiskel ya gia wakati mwanzo ulikuwa na gari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom