Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
Kuambiwa UMEDANGANYWA NA KUDANGANYIKA NA UNATAKA KUDANGANYAUna tatizo la kupaniki. Kuna swali hujalijibu mwisho.
Nimeonyesha encounter ya mimi na huo mstari ilipoanzia. Nimeeleza kwamba, kwa amri ya kwanza ilivyo hiyo ni maelezo ya ya kwanza.
Nimeuliza kama hiyo ikihesabiwa ni amri si zitakua 11? Kama zikiwa 11 mbona Musa mwenyewe alisema amri ni 10?
Mkuu hivi unasoma biblia kweli?Hebu jaribu kuelewa na mimi ninachoandika.
Kama amri ya kwanza inasema 'Usiabudu miungu wengine ila mimi' si inamaanisha hata hizo sanamu zimejumuishwa?
Au ikisemwa 'miungu wengine' inakua imemaanisha nini?
Nimetoka kukwambia kua tulitakiwa kukariri huo mstari ulioweka wote na swala la sanamu lipo treated kama maelezo ya amri ya kwanza. Yaani amri inasema 'Usiabudu miungu wengine ila mimi' maelezo ndiyo yanazungumzia kuchonga sanamu na kujifanyia miungu wengine.
Kama amri ya 10 iligawanywa ili ifidie kua kumi hauoni kua na wewe unaigawanya amri ya 1 na maelezo yake ili ziwe 10?
Matusi? Hapana. Achana na kudanganywa kama unavyodai hapa.Kuambiwa UMEDANGANYWA NA KUDANGANYIKA NA UNATAKA KUDANGANYA
unasema napaniki?
Ok, ngoja niendelee kukufungua , ila tuwe wanyenyekevu, wala USITOKE NJE YA MADA , wala tusitoe lugha za matusi
AMRI KUMI ZA Mungu alizompa MUSA ZIPO KUMI, NA KANISA LA ROMA KWA KUSHIRIKIANA NA DOLA YA KIRUMI WALIZIBADILISHA hili lilisemwa na NABII DANIELI KUWA LITATOKEA (daniel 7:25)
Nakuleta kwenye hoja yako sasa ,kwanza yale sio maelezo NI AMRI KAMILI
TWENDE KWENYE BIBLE........
AMRI YA PILI KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:4-6
Usijifanyie sanamu ya kuchonga,
wala mfano wa kitu cho chote
kilicho juu mbinguni, wala kilicho
chini duniani, wala kilicho majini
chini ya dunia.Usivisujudie wala
kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana,
Mungu wako, ni Mungu mwenye
wivu; nawapatiliza wana maovu ya
baba zao, hata kizazi cha tatu na
cha nne cha wanichukiao, nami
nawarehemu maelfu elfu
wanipendao, na kuzishika amri
zangu
AMRI YA PILI KATIKA KATEKISIMU
Inasema
"Usilitaje bure jina la Mungu wako"
UMEONA UTOFAUTI TENA MKUBWA?
haya njoo na hoja nyingine....
View attachment 904507
Asante AROON, unazidi kunikosha, toka kule kwa the gooners hadi huku kwa amri za Mungu.Mkuu hivi unasoma biblia kweli?
Nan kakwambia hayo ni maelezo?
Inaonesha huzijui AMRI ZA BIBLIA ALIZOTOA MUNGU,
na makatekista huwa wanawaambia hayo ni maelezo, ila UKWELI HIYO YA KUCHONGA SANAMU IMEONDOLEWA...
Kwanza tuanzie hapa AMRI ZA Mungu unazijua vzr?
Mkuu hivi unasoma biblia kweli?
Nan kakwambia hayo ni maelezo?
Inaonesha huzijui AMRI ZA BIBLIA ALIZOTOA MUNGU,
na makatekista huwa wanawaambia hayo ni maelezo, ila UKWELI HIYO YA KUCHONGA SANAMU IMEONDOLEWA...
Kwanza tuanzie hapa AMRI ZA Mungu unazijua vzr?
Kwanza mimi sigawanyi amri ,Matusi? Hapana. Achana na kudanganywa kama unavyodai hapa.
Wewe binafsi logically unahisi inawezekana Amri ya 1 ikataze kuabudu miungu wengine halafu ya 2 ikataze kuchonga sanamu? Mbona zitakua zinaongelea kitu kimoja?
Nijibu na hili pia, kwako wewe miungu wengine siyo sanamu, wala mti au mlima? Kwako wewe miungu wengine ni nini?
Basi elewa umedanganywa na uwe huru kusoma mwenyeweBiblia sisomi.
Darasani tuliambiwa ni maelezo. Na akili yangu imeona hivyo.
Nazijua, tulitakiwa kuukariri huo mstari wote.
Hayo maelezo hayajaondolewa. La sivyo nisingeyajua.
Nazijua.
USIWE NA MIUNGU MINGINEMatusi? Hapana. Achana na kudanganywa kama unavyodai hapa.
Wewe binafsi logically unahisi inawezekana Amri ya 1 ikataze kuabudu miungu wengine halafu ya 2 ikataze kuchonga sanamu? Mbona zitakua zinaongelea kitu kimoja?
Nijibu na hili pia, kwako wewe miungu wengine siyo sanamu, wala mti au mlima? Kwako wewe miungu wengine ni nini?
Jibu haya maswali kwanza ili twende sawa.Matusi? Hapana. Achana na kudanganywa kama unavyodai hapa.
Wewe binafsi logically unahisi inawezekana Amri ya 1 ikataze kuabudu miungu wengine halafu ya 2 ikataze kuchonga sanamu? Mbona zitakua zinaongelea kitu kimoja?
Nijibu na hili pia, kwako wewe miungu wengine siyo sanamu, wala mti au mlima? Kwako wewe miungu wengine ni nini?
USIWE NA MIUNGU MINGINE
NA USICHONGE SANAMU ....
WEWE umeambiwa ni sawa japo zote ni zambi?
Mbona nimekujibu mara 3 bado huelewi au tayar umeshamezeshwa hizo.za katekisimu?Jibu haya maswali kwanza ili twende sawa.
Nachukulia hujanielewa ndiyo maana unaruka.Mbona nimekujibu mara 3 bado huelewi au tayar umeshamezeshwa hizo.za katekisimu?
Nimekwambia hizo ni Amri mbil tofaut kabisa , YAKUCHONGA SANAMU iliondolewa ili watu wapate fursa ya KUCHONGA VITU KAMA HIVIView attachment 904525
Aliyekwambia zinaongelea kitu kimoja nani ?Nachukulia hujanielewa ndiyo maana unaruka.
Nitaandika tena.
Wewe binafsi logically unahisi inawezekana Amri ya 1 ikataze kuabudu miungu wengine halafu ya 2 ikataze kuchonga sanamu? Mbona zitakua zinaongelea kitu kimoja?
Nijibu na hili pia, kwako wewe miungu wengine siyo sanamu, wala mti au mlima? Kwako wewe miungu wengine ni nini?
Dah ebwana itakua haunielewi hebu jibu swali zima. Mbona unaruka ruka sana kuna shida gani wewe kuongea mawazo yako na siyo uliyokaririshwa?Aliyekwambia zinaongelea kitu kimoja nani ?
Usiwe na Miungu ni kitu kingine kabisa na logic YA KUCHONGA VINYAGO a.k.a SANAMU
MBONA IPO WAZI, na ukisema hivo uiache ya kuchonga sanamu, ndio ikawafanya wazigawe amri ya 10 ,ya usitaman ,Ziwe mbili tena zina LOGIC MOJA
LENGO NI KUIKWEPA YA KUCHONGA SANAMU NA ZITIMIE 10
Nadhan umeanza kuelewa
Ngoja NIENDELEE KUKUELEZANachukulia hujanielewa ndiyo maana unaruka.
Nitaandika tena.
Wewe binafsi logically unahisi inawezekana Amri ya 1 ikataze kuabudu miungu wengine halafu ya 2 ikataze kuchonga sanamu? Mbona zitakua zinaongelea kitu kimoja?
Nijibu na hili pia, kwako wewe miungu wengine siyo sanamu, wala mti au mlima? Kwako wewe miungu wengine ni nini?
Kawasomee wasabato wenzio.Hizi ni Amri zilizochakachuliwa na kanisa la ROMA ,
Watu maelfu mmemezeshwa amri zilizochakachuliwa na kuwekwa kwenye katekisimo, Zile Amri kumi ORIGINAL alizopewa musa pale SINAI, zipo kwenye biblia hata hamtaki kuzifatilia ,mfananishe na hizo za PAPA
Wewe unataka jibu gani?Dah ebwana itakua haunielewi hebu jibu swali zima. Mbona unaruka ruka sana kuna shida gani wewe kuongea mawazo yako na siyo uliyokaririshwa?
Nitaandika tena.
Wewe binafsi logically unahisi inawezekana Amri ya 1 ikataze kuabudu miungu wengine halafu ya 2 ikataze kuchonga sanamu? Mbona zitakua zinaongelea kitu kimoja?
Nijibu na hili pia, kwako wewe miungu wengine siyo sanamu, wala mti au mlima? Kwako wewe miungu wengine ni nini?
Najua ukweli umekuingia , kisawasawaKawasomee wasabato wenzio.
Sawa sawa kabisa na kwa kadri unavyoweza kuchambua unaona 'Kutamani mke wa mtu mwingine' na 'Kutamani mali ya mtu mwingine' ni kitu kimoja?Ngoja NIENDELEE KUKUELEZA
AMRI YA USIABUDU MIUNGU MINGINE , haihusiani na KUCHONGA SANAMU zisome vizuri.
Unadai ulifindishwa KUCHONGA SANAMU NI MAELEZO YA KUTOKUWA NA MIUNGU MINGINE,
Nimekwambia ulidanganywa LENGO KUU ILIKUWA KUKWEPA HIYO AMRI ILI SANAMU ZICHONGWE BILA BUGHA
Umekimbilia zina logic sawa, ndio maana waliiacha
NAOMBA NIKUSWALIKE SWALI, HAO HAO WALIOIACHA AMRI YA KUCHONGA SANAMU, KWA KUWA INALOGIC SAWA NA YA KWANZA
WAMEEENDA KWENYE AMRI YA 10 WAKAIGAWA NA INA LOGIC YA usitamani
Unalizungumziaje ? Sio Double standard? Umegundua kuwa uliingizwa cha kike?
Angalia walivyozigawa
9. Usitamani mwanamke asiye mke wako.
10. Usitamani mali ya watu.
Ngoja niandike kifupi.Wewe unataka jibu gani?
Mbona nimekuelewa vzr, umedai.uliambiwa zina maana moja ndio maana imeachwa ni maelezo tu, nimekwambia umedanganywa
KUCHONGA SANAMU NI amri inayokataza DIRECT, ndio maana haipo kwenye KATEKISIMU ZENUView attachment 904536