HAPO NDIPO HUYU MWANAMKE MWENYE KANISA LAKE LA SABATO ALIPOKOSEA, AMRI YA KWANZA NA YA PILI KWA MUJIBU WA HUYU MWANAMKE AMBAYE ANAONA NI TOFAUTI, NI AMRI MOJA...!HIVI KWANINI KANISA LA ROMA LIMEDANGANYA MAELFU YA WATU KIASI HIKI?
YAANI WATU TOKA WATOTO WANAMEZESHWA AMRI ZA KATEKISIMU , BADALA AMRI ZA MUNGU KUTOKA KTK BIBLIA
KATIKA KIPENGELE HIKI TUTATUMIA
USHAHIDI WA BIBLIA NA, KITABU
CHA KATEKISIMU NDOGO YA
KANISA KATOLIKI UK 56, ILI
KUTIBITISHA;
A. Amri kumi katika biblia KUTOKA
20:1-17 na Amri kumi katika
katekisimu ndogo ya kanisa katoliki;
I. AMRI YA KWANZA KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:1-3
Mimi ni Bwana, Mungu wako,
niliyekutoa katika nchi ya Misri,
katika nyumba ya utumwa.Usiwe na
miungu mingine ila mimi
AMRI YA KWANZA KATIKA
KATEKISIMU
Ndimi Bwana Mungu wako,
usiabudu miungu wengine
II. AMRI YA PILI KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:4-6
Usijifanyie sanamu ya kuchonga,
wala mfano wa kitu cho chote
kilicho juu mbinguni, wala kilicho
chini duniani, wala kilicho majini
chini ya dunia.Usivisujudie wala
kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana,
Mungu wako, ni Mungu mwenye
wivu; nawapatiliza wana maovu ya
baba zao, hata kizazi cha tatu na
cha nne cha wanichukiao, nami
nawarehemu maelfu elfu
wanipendao, na kuzishika amri
zangu
AMRI YA PILI KATIKA KATEKISIMU
Usilitaje bure jina la Mungu wako
III. AMRI YA TATU KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:7
Usilitaje bure jina la Bwana, Mungu
wako, maana Bwana hatamhesabia
kuwa hana hatia mtu alitajaye jina
lake Bure
AMRI YA TATU KATIKA KATEKISIMU
Shika kitakatifu siku ya Mungu
IV. AMRI YA NNE KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:8-11
Ikumbuke siku ya Sabato uitakase.
Siku sita fanya kazi, utende mambo
yako yote; lakini siku ya saba ni
Sabato ya Bwana, Mungu wako, siku
hiyo usifanye kazi yo yote, wewe,
wala mwana wako, wala binti yako,
wala mtumwa wako, wala mjakazi
wako, wala mnyama wako wa
kufuga, wala mgeni aliye ndani ya
malango yako. Maana, kwa siku sita
Bwana alifanya mbingu, na nchi, na
bahari, na vyote vilivyomo,
akastarehe siku ya saba; kwa hiyo
Bwana akaibarikia siku ya Sabato
akaitakasa.
AMRI YA NNE KATIKA KATEKISIMU
Waheshimu Baba na Mama, upate
miaka mingi na heri Duniani
V. AMRI YA TANO KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:12
Waheshimu baba yako na mama
yako; siku zako zipate kuwa nyingi
katika nchi upewayo na Bwana,
Mungu wako.
AMRI YA TANO KATIKA KATEKISIMU-
Usiue
VI. AMRI YA SITA KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:13
Usiue.
AMRI YA SITA KATIKA KATEKISIMU
Usizini
VII. AMRI YA SABA KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:14
Usizini
AMRI YA SABA KATIKA KATEKISIMU-
Usiibe
VIII. AMRI YA NANE KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:15
Usiibe
AMRI YA NANE KATIKA KATEKISIMU
Usiseme uongo
IX. AMRI YA TISA KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:16
Usimshuhudie jirani yako uongo
AMRI YA TISA KATIKA KATEKISIMU
Usitamani mwanamke asiye mke
wako
X. AMRI YA KUMI KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:17
Usiitamani nyumba ya jirani yako,
usimtamani mke wa jirani yako; wala
mtumwa wake, wala mjakazi wake,
wala ng'ombe wake, wala punda
wake, wala cho chote alicho nacho
jirani yako
AMRI YA KUMI KATIKA KATEKISIMU
Usitamani mali ya mtu mwingine
View attachment 901465
Kuna tofauti gani kati hizi na alizotela mtoa mada?.Kutoka 20
1 Mungu akanena maneno haya yote akasema,
2 Mimi ni Bwana, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.
3 Usiwe na miungu mingine ila mimi.
4 Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
5 Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
6 nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.
7 Usilitaje bure jina la Bwana, Mungu wako, maana Bwana hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure.
8 Ikumbuke siku ya Sabato uitakase.
9 Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote;
10 lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya malango yako.
11 Maana, kwa siku sita Bwana alifanya mbingu, na nchi, na bahari, na vyote vilivyomo, akastarehe siku ya saba; kwa hiyo Bwana akaibarikia siku ya Sabato akaitakasa.
12 Waheshimu baba yako na mama yako; siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na Bwana, Mungu wako.
13 Usiue.
14 Usizini.
15 Usiibe.
16 Usimshuhudie jirani yako uongo.
17 Usiitamani nyumba ya jirani yako, usimtamani mke wa jirani yako; wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala cho chote alicho nacho jirani yako.
Zile kuu kuu?Tunajadili zile Amri 10 na sio amri moja Jumuishi
Mimi Bwana Mungu niliyekutoa ktk nchi ya Misri,Exodus...
Kwanini mkuu ,maana hapa zimetajwa Amri za KATEKISIMO SIO ZA BIBLIA ,kwann isiwe habari nzuri kwa wasabato?
Huon kama jamaa kadanganya kadanhanyika na anaendelea kudanganya maana kamezeshwa hivo toka akiwa mdogo?
Huoni kama Anazidi kupotea na kupoteza watu?
Leta ushahidi wa hayo usemayo, wapi waadventista wasabato walitabiri mwisho wa dunia,Hebu tuwianishe
Wasabato:
roho aliwaongoza kutabili mwisho wa dunia,japokuwa Kristo alisema hakuna ajuaye hata mm ila baba,wao wasabato wakasema tunaujua na wakautabiri(huko siyo kumpinga Kristo?)na haukutokea,
Wakatoliki:
Roho mtakatifu aliwaongoza Wameulea Ukristo na kuwazaa madhehebu ya sasa,na kuwafanya watu wamjue Mungu japo wamechoropoka wakaanzisha madhehebu,
Wasabato:
roho aliwaongoza kutaka kwenda ulaya bila visa wala nauli wala chakula wa hawajui hata lugha ya huko wakahubiri injili ya Ellen white,
Wakatoliki:
Roho mtakatifu aliwaongoza kuiunda Biblia ambayo inatumika hata na wasabato kuwatukania wakatoliki,
Walianzisha mashule na hospitali ambazo hata wasabato waliisoma na kutibiwa huko,
Wasabato:
roho aliwaongoza kutabili kuwa Papa Yohane Paulo ndo mkamilisha 666 na ndo mnyama maana hata unabii wa mnyama kupona jerana la mauti umetimia kwake alipopona kuuliwa na risasi,na wakadanganya akina Arlon,papa alikufa na hakuna kilichotokea na kukamilika,
Wakatoliki:
Roho anawaongoza kuanzisha Huduma na miradi ya kimaendeleo inayosaidia jamii hata wasabato pia ni wanufaika,kila siku,
Wasabato:
roho anawatuma kuwakosoa,kuwatukana,kuwakashifu,kuwachukia,kuwazushia kila lililo ovu wakatoliki,na huku wakijisahau wao wenyewe kujikosoa na kutubia udanganyifu wa mama yao,
Wakatoliki:
Roho anawatuma kujichunguza zaidi kuliko kunyooshea wengine vidole,
Kuomba toba kuliko kuwachukia madhehebu,
Kujinyenyekeza kuliko kujiona wakamilifu,
Kukaa kimya kuliko kuwatukana na kurumbana na watoto,
Wapi zimegawiwa?tatizo Wasabato mnasoma Biblia kwa nguvu sana bila kutumia akili. Mimi bwana Mungu wako na usijifanyie sanamu kuna ujumbe gani wa tofauti ndani yake? ujumbe uliopo ni moja kuwa usiwe na miungu mingine. Kwa mantiki hiyo Amri ya kwanza ya Wasabato na amri ya pili ya Wasabato zote ni Mamri moja tu. Ila wao wamezigawa kwa heshima ya Nabii wa Elen G.Whilte. Hawataki kumwangusha huko alipo. hivyo wameamua kuwa watiifu kwake hadi kufa.
Wewe unaona sawa ?Kuna tofauti gani kati hizi na alizotela mtoa mada?.
Ndio mlivyodanganya?HAPO NDIPO HUYU MWANAMKE MWENYE KANISA LAKE LA SABATO ALIPOKOSEA, AMRI YA KWANZA NA YA PILI KWA MUJIBU WA HUYU MWANAMKE AMBAYE ANAONA NI TOFAUTI, NI AMRI MOJA...!
UNAPOAMBIWA USIABUDU MIUNGU MINGINE, NDIO MWENDELEZO HUO KUWA USIJIFANYI SANAMU ZA KUCHONGA N.K
SASA YULE MAMA WA KISABATO KWA VILE ALIKUWA KWENYE SIKU ZAKE, TUMBO LINAMUUMA SAAANA, AKASHINDWA KUONA HATA MKATO, NUKTA..AKAJITENGEA MWENYEWE, AKIJUA KUNA MANYUMBU WATAMFUATA TU....
MMEPOTOKA SANA NYIE WAFUASI WA MWANAMKE MWENYE KANISA LAKE LA SABATO
Sabato imeanzia EDENI,wasabato , kanisa la mwanamke.. kawadanganya na nyinyi mmedanganyika......
Utofauti upo,Kuna tofauti gani kati hizi na alizotela mtoa mada?.
Haupo sahihi , waroma hiyo ya kuchonga HAWAITAKI tambua hilo,Amri ya kwanza ni 20:1-6 yote ikiwa na maana moja tu usiabudu miungu mingine, sasa wasabato mmegawa katika amri mbili na Amri ya kumi wakatoliki mstari wa 17 wamegawa makundi 2 na wasabato wameweka ktk amri moja. But wote kwa pamoja mnataja amri za Mungu zote.Umefanya vema Aron kuweka mlingayo nimejifunza kitu hapo
Hujielewi,soma biblia kwa faida yako na sio kwa faida ya kanisa lakoHaupo sahihi , waroma hiyo ya kuchonga HAWAITAKI tambua hilo,
Ya Nne ya sabato hawaitaki wameibadili kabisa hata maana
Kwakuwa INAYOKATAZA KUCHONGA MASANAMU WAMEIONDOA , ili kufidia ziwe kumi
Amri ya 10 wakaigawa mara mbili , ( angalia kwa makini)
View attachment 911088
Yaani inaonyesha wewe unaenda kanisani kwaajili yakutafuta vifungu vyakubishana na sio kumjua Mungu.ndugu yangy labda nikuulize swali moja. ulishawahi kuwaona watu wazima wamebeba katekisimu wanaingia nazo kwenye ibada. swali La Pili. je? katika dhehebu lako wewe hakuna vitabu kwaajili ya watoto na je ? hakuna vitabu vingine zaidi ya biblia mnavyovisoma.ila nataka nikuambie kitu kimoja kama ungeutambua ukuu wa Mungu usingeingia katika mabishano yakidini na kidhehebu.Yawezekana Mimi najua tofauti labda.lkn Mungu ninaemjua Mimi ni Mungu Wa wote haangalii mabishano yetu wala majivuni yetu anaangalia matendo yetu.Wewe unaona hapo nimenukuu kutoka kwa wafaraga au wasabato au BIBLIA?
Mbona unataka kuleta udini,hapo nimenukuu kwenye BIBLIA , pingana na biblia ,amin KATEKISIMO YA PAPAView attachment 901471
hakuna alichopotosha hapo.kwa mfano unapoambiwa usiue .huu ni msamiati mrefu sana .haimaanishi kuua tu .ata kutoa mimba nikuua pia.kuwaza pia inaesabikaKwanini mkuu ,maana hapa zimetajwa Amri za KATEKISIMO SIO ZA BIBLIA ,kwann isiwe habari nzuri kwa wasabato?
Huon kama jamaa kadanganya kadanhanyika na anaendelea kudanganya maana kamezeshwa hivo toka akiwa mdogo?
Huoni kama Anazidi kupotea na kupoteza watu?