MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,259
Kama moja ya ahadi zake kwa wapiga kura wa Arusha:
MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema, (CHADEMA) amesema fedha alizokopeshwa na serikali kwa ajili ya kununulia gari atazitumia kuanzisha taasisi ya kukopesha wanawake ili kuwawezesha kuinuka kiuchumi.
Alisema ataanzisha taasisi hiyo hivi karibuni kwa kiasi cha shilingi milioni 50 kati ya 90 alizopewa na serikali kwa ajili ya kununulia gari.
Mbunge huyo wa Arusha Mjini alikuwa mbunge wa kwanza kutamka na kupinga hadharani hatua ya serikali kuwapa wabunge kiasi kikubwa cha fedha kwa ajili ya kununulia magari huku ikishindwa kuwapatia wananchi mahitaji muhimu kama magari ya kubebea wagonjwa hospitalini ambako serikali imetoa Bajaj kwa ajili hiyo.
=========================================
Ahadi hii Mbona haikutimia? Wakazi wa Arusha wanahoji!