Tujikumbushe ahadi za kamanda Lema: Fedha za gari nitawakopesha wananchi!.

MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Oct 13, 2013
18,925
13,258
Kama moja ya ahadi zake kwa wapiga kura wa Arusha:

MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema, (CHADEMA) amesema fedha alizokopeshwa na serikali kwa ajili ya kununulia gari atazitumia kuanzisha taasisi ya kukopesha wanawake ili kuwawezesha kuinuka kiuchumi.

Alisema ataanzisha taasisi hiyo hivi karibuni kwa kiasi cha shilingi milioni 50 kati ya 90 alizopewa na serikali kwa ajili ya kununulia gari.

Mbunge huyo wa Arusha Mjini alikuwa mbunge wa kwanza kutamka na kupinga hadharani hatua ya serikali kuwapa wabunge kiasi kikubwa cha fedha kwa ajili ya kununulia magari huku ikishindwa kuwapatia wananchi mahitaji muhimu kama magari ya kubebea wagonjwa hospitalini ambako serikali imetoa Bajaj kwa ajili hiyo.

=========================================
Ahadi hii Mbona haikutimia? Wakazi wa Arusha wanahoji!
 
Mtu mwenye mdomo mrefu huwa ananyamazishwa kwa fedha.
Arusha inadorora baada ya maandamano na fujo za miaka.
Mbunge kanunuliwa tayari, sasa Arusha imetulia.
Kweli penye udhia penyeza rupia!
 
Binafsi sikumsikia akiahidi kutoa fedha za gari lake. Na sijui pia kama na wewe MSALANI kama unaishi Arusha. Ila kama ni kweli aliahidi na kama ni kweli unaishi Arusha basi ni haki yenu kudai kwa nguvu zote.
 
Last edited by a moderator:
MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema, (CHADEMA) amesema fedha alizokopeshwa na serikali kwa ajili ya kununulia gari atazitumia kuanzisha taasisi ya kukopesha wanawake ili kuwawezesha kuinuka kiuchumi.

Alisema ataanzisha taasisi hiyo hivi karibuni kwa kiasi cha shilingi milioni 50 kati ya 90 alizopewa na serikali kwa ajili ya kununulia gari.

Mbunge huyo wa Arusha Mjini alikuwa mbunge wa kwanza kutamka na kupinga hadharani hatua ya serikali kuwapa wabunge kiasi kikubwa cha fedha kwa ajili ya kununulia magari huku ikishindwa kuwapatia wananchi mahitaji muhimu kama magari ya kubebea wagonjwa hospitalini ambako serikali imetoa Bajaj kwa ajili hiyo.

Ahadi hii Mbona haikutimia? Wakazi wa Arusha wanahoji!

tofautisha kupewa na kukopeshwa....hata imeshindikana baada ya wizi mkubwa unaoendelea hazina
Nitajie wizara ambayo imepata mgao sahii toka budget ya ccm ya mwaka jana
 
Back
Top Bottom