Kipo kingine kinaitwa LWIDIKO nacho ukikisoma kinasadifu maisha ya sasa ya mTZThe Beautyful Ones Are Not Yet Born. - Ayi Kwei Armah
Hiki kitabu kinahusu siasa japo unaweza ukahisi ni mapenzi kutokana na heading yake
Kinasadifu kila kitu kilichopo katika Tanzania yetu ya leo.
Girls at War by Chinua Achebe.Umenikumbusha mbali sana mkuu. Hiyo house boy by Oyono, kuna ile The old man and a medal(Oyono)
Concubine.
Pass like a shandow.
Kinjeketile.
The girl of war.
What a fascinating novel!The great ponds by Elechi Amadi
Wole SoyinkaAhsante sana mkuu ila The river between ni by Ngugi wa Thiongo. Nimekumbuka Makuyu and Kamenu.
The Trial of Brother JERO - Hole Soyinka
Three suitors One Husband - Nabi Kamala
The lion and The Jewel. - Hole Soyinka.
Is it Possible
Not Yet Uhuru
No longer At Ease.
Wengine muongezee alafu tuelezane wapi naweza kupata vitabu hivyo kwa hapa Dar?
Kuna mwalimu alinifundisha hiki kitabu mpaka kesho nakikumbuka na nitamkumbuka mzee yule daima. The best teacher ever. Our Bus driver ameacha njia.... Conductor hana la kusema wala hamkumbushi..... Passengers tuko na coins tu.....The Beautyful Ones Are Not Yet Born. - Ayi Kwei Armah
Hiki kitabu kinahusu siasa japo unaweza ukahisi ni mapenzi kutokana na heading yake
Kinasadifu kila kitu kilichopo katika Tanzania yetu ya leo.
"Eat More" imeandikwa na Joe Corrie na sio Armando GuebuzaNabkuna ile poem ya huyu huyu Armando inatwa "Eat More". Jamaa yuko vizuri sana na kwenye Poems
Asante kwa masihihisho"Eat More" imeandikwa na Joe Corrie na sio Armando Guebuza
Mkuu kweli umetukumbusha mbali mpaka natamani kuvisoma tenaView attachment 493602Hawa ni miamba wa Afrika walioandika vitabu vya hadithi siasa uchumi nk.. Wengi wameondoka wachache bado wako hai... Lakini bila kujali hilo Maandishi na maandiko yao yatadumu milele
Mine boy by Peter Abraham
Things fall apart by Chinua Achebe
House boy by Ferdinand Oyono
Mission to Kala by Mongolian Beti
The beautiful ones are not yet born
The only son by John Mwonye
Petals of blood by Ngugi wa Thiongo
A grain of wheat by James Ngugi
The black hermit by Ngugi wa Thiongo
Weep not child by James Ngugi
The great ponds by Chinua Achebe
The river between by Chinua Achebe
The slave by Elechi Amadi
We killed Mangy-dog
The concubine by Elechi Amadi
Quortent
Arrow of God by Chima
A duty of memory
The interpreters by Wole Soyinka
Song of Lawino etc etc....
Kizazi cha novel kimetoweka kumbukumbu iliyobaki ni haya Maandishi ya hawa wazee
Big respect to you all greatest African writers
Hivi huyo mwandishi ana vitabu vingine zaidi ya hicho?Kuna kile cha 'Is It Possible" anazungua if its possible for a young Maasai man to carry a spear and a sword na wakati huo huo to carry books, akazungumzia na harakati za ukombozi kutoka kwa wakoloni. It's among the best books, nimekisoma zaidi ta mara tatu
Labda wewe ndo husomi, tena mitandao imewezesha kujua vitabu vizuri na vinapopatikana.Sikuhizi mitandao imetuharibu...hatujisomei.... Nikiwa form 1 nilikua najeuri sana.. Unakuta nimetulia li. NOvel Petals of Blood..
Siku hizi umbea tu wa mitandaoni..
Mimi napenda poems za Almando Guebuza.
Mfano frontline na they drive me along they do they do...
Kuna ile if we must die
Pia kuna novels kama
No longer at ease by chinua achebe
Kuna A man of the people by chinua achebe
A grain of wheat by Ngungi wa thiongo
Kuna is it possible
Kuna I will.marry when I want
Kuna wheap not a child
Kuna kingine sijui kinaitwa .... Of Obatala nimesahau jina lake exactly
Hajitambui huyo, analinganisha akili zake na akili za watu wengine.Labda wewe ndo husomi, tena mitandao imewezesha kujua vitabu vizuri na vinapopatikana.
Vipo online mkuu, wewe google jina la kitabu mwisho weka .pdfMkuu kweli umetukumbusha mbali mpaka natamani kuvisoma tena
Ombi nawezaje vipata vya soft copy mkuu miongoni mwa hii list !!!
Thank you.Vipo online mkuu, wewe google jina la kitabu mwisho weka .pdf
Pia Man of the PeopleHalafu soma na kile cha Ngoswe mapenzi kitovu cha uzembe