YAPE
Member
- Oct 10, 2018
- 88
- 90
unaambiwa unapinga kila kituUkihoji unaambiwa huitakii heri serikali, Yaani kila kitu majitu yamehamishia Kwenye siasa, so sad and sickening.
unaambiwa unapinga kila kituUkihoji unaambiwa huitakii heri serikali, Yaani kila kitu majitu yamehamishia Kwenye siasa, so sad and sickening.
Kina umuhimu sana wag kuwa na Chama Au mamlaka inayopigania Haki za walaji Kama ipo Maana Sijawahi kusikia Kama tunayo.unaambiwa unapinga kila kitu
Kurudi kwangu kumewaudhi wengi; nami nawaomba mniwie radhi ... nimeambiwa mda wangu bado!Wewe si ndo ulikuwa unarudi mbinguni Jana? Nishajianda nikupe barua umpelekee baba yangu nimemmisi picha aone nilivyokuwa kumbe mhuni wewe uko unatuzuga hapa? Nfyuuuuuuuuxxxxx
Mbona matokeo ya uchaguzi wa marudio hatujapinga?unaambiwa unapinga kila kitu
Mpuuzi mkubwaKurudi kwangu kumewaudhi wengi; nami nawaomba mniwie radhi ... nimeambiwa mda wangu bado!
Ulitaka kuunga mkono wanaoenda huko ?Nilifika nikarudishwa!
Nini kifanyike kunusuru hii hali?Kenya walitaka kuweka 16% kwenye mafuta yanayoingizwa , mahakama na makundi ya kijamii yalihusika kulikua na shinikizo kiasi kwamba ikaongezwa 8 % tu
Najutia kuzaliwa Africa huku..!Waungwana ... nakuja na hoja hii ..
Hivi ni kwa nini watanzania tumezoea kukubali kila kitu kinachoamuliwa na walioko juu?
Nitoe mfano ukilipia umeme wa luku wa elfu kumi unapewa mahesabu ya makato kama ifuatavyo:-
Vat 18% 1,475.39
Eura 1% 81.97
Rea 3% 245.90
Gharama za muamala 1,803.27
Jumla ya makato 3,606.53
Umeme ninaouziwa 6,393.47
Jumla ya malipo 10,000.00
Maswali ya kujiuliza?
Nani alishirikishwa kuchangia Rea na Eura? Vat sio tabu hiyo ni kodi.
Hii kampuni inayotoa huduma mbona ina makato makubwa yanazidi haya kodi kwa serikali
Kwa uhalisia nikitoa laki moja nanunua umeme wa Tshs. 63,934.70. Hivi serikali inayajua haya na inanyamaza kimya; urafiki wa serikali na wananchi wake uko wapi? Huu ni mfano tu; zipo huduma nyingi ambazo makato yake ni makubwa lakini watu hawahoji kulikoni. Ni hayo tu naendelea kupumzika kitandani.
Una vyeti vya kuzaliwa vya bibi na babu yako?Kuunga mkono tunaunga + kuhoji tunahoji!
26.04.2018 ndo ilikua muarubaini wa kila kitu, maana yake sasa hivi ukihoji utaambiwa unataka ufanye uchochezi wa kuichonganisha serikali na wananchi wake, yani ukisoma magazeti ya Kenya mfano Daily Nation yani unaona gazeti limesheheni uchambuzi wa kila aina mashitaka ya kila aina sasa Tanzania gazeti lifanye uchambuzi wa hizo tozo hilo gazeti siku ya pili linafungiwa asubuhi kweupeNini kifanyike kunusuru hii hali?
Hata kama mtu anunui umeme yeye lakini anatumia dona, mchele, mafuta n.k inamuhusu tu! Kuna watu wavivu wa kufikiri wanafikiri hii kitu inawahusu walipa umeme tu!
Hili ndo jambo linalofanya wengi wafumbe midogo unless utaitwa mchochezi na hawashindwi kukupoteza26.04.2018 ndo ilikua muarubaini wa kila kitu, maana yake sasa hivi ukihoji utaambiwa unataka ufanye uchochezi wa kuichonganisha serikali na wananchi wake, yani ukisoma magazeti ya Kenya mfano Daily Nation yani unaona gazeti limesheheni uchambuzi wa kila aina mashitaka ya kila aina sasa Tanzania gazeti lifanye uchambuzi wa hizo tozo hilo gazeti siku ya pili linafungiwa asubuhi kweupe