Giambatista Vico
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 357
- 121
- Thread starter
- #21
Haha haya mkuu
Haha haya mkuu
Hutumika mara nyingi kwenye lugha ya mazungumzo, wakati mwingine lugha zizizo rasmi.Kwa kishwahili hutumika vipi mkuu mifano yake ipi katika mazungumzo yakawaida nisaidie mkuu nipate more ideas
Nimekupata vyema mkuuHutumika mara nyingi kwenye lugha ya mazungumzo, wakati mwingine lugha zizizo rasmi.
Mfano,Wewe unalima shamba, hauko unalima? Haulimi?
Hapa ni kutaka kudhibitisha kama kweli mlimaji yuko analima.
Sjui nmejibu vizuri