Tujifunze na kueleweshana kuhusu 'Question tags'

Kwa kishwahili hutumika vipi mkuu mifano yake ipi katika mazungumzo yakawaida nisaidie mkuu nipate more ideas
 
Kwa kishwahili hutumika vipi mkuu mifano yake ipi katika mazungumzo yakawaida nisaidie mkuu nipate more ideas
Hutumika mara nyingi kwenye lugha ya mazungumzo, wakati mwingine lugha zizizo rasmi.
Mfano,Wewe unalima shamba, hauko unalima? Haulimi?
Hapa ni kutaka kudhibitisha kama kweli mlimaji yuko analima.
Mf;
M1: Oyo mshikaji Leo anakuja kututembelea nyumbani
M2: atakuja? (Tag question)
M1: Ndiyo, anakuja.
Hivyo basi mzungumzaji namba mbili anataka kudhitisha kama kweli mshikaji anakuja

Sjui nmejibu vizuri
 
Back
Top Bottom