Tujifunze kwa wengine

Hivi naweza kupiga window 10 kwenye computer ambayo Ina
Ram 512

Kama haiwezekani kwanini au inakubali kwanini ? Tujifunze

Toa maoni hapaa

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Tatizo sio kukubali ama kutokukubali, katika minimum requirement za windows 7, 8,8.1 na 10. Computer inatakiwa kuwa na minimum requirement ya 1GB of Ram. Kinyume na hapo hiyo computer itakuwa mzigo.
 
Hivi naweza kupiga window 10 kwenye computer ambayo Ina
Ram 512

Kama haiwezekani kwanini au inakubali kwanini ? Tujifunze

Toa maoni hapaa

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Operating system haiwezi kuload critical processes kwenye RAM hyo sababu hazitatosha. Windows 10 install mpya kabisa inakula kama 2GB kwenye RAM kabla hujaongeza chochote. Sasa unategemea kweli 512MB zitatosha kweli?
 
Naona mdau kajibu vizuri kabisa.

Ila ulimwengu huu bado kuna wanaotumia ram mb 512😀
 
Back
Top Bottom