Hiki ni kipindi cha mapishi, leo tunajifunza kupika nyama ya kuku, kwanza unamkimbiza kuku kwa ajili ya kumchinja ila samahani naona haitawezekana kuendelea kuku kaingia barabarani na ni hatari unaweza gongwa na gari

Kulikua na mkaka na mdada, walionana, wakapendana, wakaowana, walipozaa wakafa stori yao ikaishia apo.
Lete yako ambayo iko short na inaelimisha kama io :coffee: