Tujenge kuta za kifikra

Umeandika vizuri sana, uzalendo ni muhimu hasa unaojengwa katika misingi ya uwajibikaji wenye dhamira ya dhati isiyo na chembe ya chuki wala visasi bali haki
 
Natoka kuongea na office met wangu Leo kitu hiki hiki. Tujenge ukuta mkubwa wa uzalendo, uwaminifu na kuvumiliana matunda take yataonekana tu. UKUTA wa tofali na mawe haujwahi kuwa imara..natumaini Jembe JPM atalifanyia kazi hilo
 
Naamini tuko kwenye kipindi cha mpito kufikia huko

Kwahiyo ukuta unajengwa [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Mkuu Mshana Jr... unampigia zeze mbuzi, kweli ataelewa muziki... Haya kanyaga twende.
 
Mkuu umenena vyema...kwa kweli dunia ya sasa inahitaji viongozi ambao ni great thinkers....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ