Leejay49 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 19,295 Reaction score 60,919 Sep 14, 2025 #141 kingundya said: Mi nachanganya mambo hapa hivi To yeye na Leejay49 Nani ni yupi na yupi noi nani Click to expand... Ooh,. Ni watu wawili tofauti
kingundya said: Mi nachanganya mambo hapa hivi To yeye na Leejay49 Nani ni yupi na yupi noi nani Click to expand... Ooh,. Ni watu wawili tofauti
kingundya JF-Expert Member Joined Apr 22, 2013 Posts 3,242 Reaction score 4,794 Sep 15, 2025 #142 Leejay49 said: Ooh,. Ni watu wawili tofauti Click to expand... Najua ila mnanoichanganya sana. Jambo linawezasemwa na wewe muda ukipita nawaza hivi alisema huyu au yule. Sababu sijui ila nadhani nitapana tu😀
Leejay49 said: Ooh,. Ni watu wawili tofauti Click to expand... Najua ila mnanoichanganya sana. Jambo linawezasemwa na wewe muda ukipita nawaza hivi alisema huyu au yule. Sababu sijui ila nadhani nitapana tu😀
The nightwalker JF-Expert Member Joined Sep 12, 2025 Posts 1,154 Reaction score 1,528 Sep 15, 2025 #143 To yeye said: Mimi nitakuwa mama mchungaji,nipo serious na hili tafadhali.... Ili nisiwakere mtakuwa mnanipangia nini Cha kuhubiri sikuhiyo ...ilimradi nanyi msinikere,mkileta mambo meusi naharibu Click to expand...
To yeye said: Mimi nitakuwa mama mchungaji,nipo serious na hili tafadhali.... Ili nisiwakere mtakuwa mnanipangia nini Cha kuhubiri sikuhiyo ...ilimradi nanyi msinikere,mkileta mambo meusi naharibu Click to expand...