😂😂😂 Jamani, mbona kama havihusiani....au ndiyo itatakiwa niwahamasishe hivi waumini kina ndege JOHN 🤒Sawa! Kila mtu ale urefu wa kamba yake
😂😂😂 Jamani, mbona kama havihusiani....au ndiyo itatakiwa niwahamasishe hivi waumini kina ndege JOHN 🤒
dogo?Yeah dogo,najiona kabisa nikitoboa🥴
Seriously tho? au unachangamsha uzi?Mimi nitakuwa mama mchungaji,nipo serious na hili tafadhali....
Ili nisiwakere mtakuwa mnanipangia nini Cha kuhubiri sikuhiyo ...ilimradi nanyi msinikere,mkileta mambo meusi naharibu🤒
Kanisa liwe Dar es salaam maana nahamia huko soon.Tafadhali nipo seriously kabisa 🙏🙏🙏
Am in love with my country❤️
#Tanzania forever🙏
Yeah, indeed 👊
Cc:mwamposa
Nanukuu... mkileta mambo meusi naharibu ... Mwisho wa kunukuu...!!! To yeye, statement hii uliosema kwenye post yako, inakuondolea sifa ya kuwa mama mchungaji..!! We tuendelee tu kuuza mchele NDONYA 80 kwa siku, haya mambo ya uchungaji tuwaachie akina Mbarikiwa MwakipesileMimi nitakuwa mama mchungaji,nipo serious na hili tafadhali....
Ili nisiwakere mtakuwa mnanipangia nini Cha kuhubiri sikuhiyo ...ilimradi nanyi msinikere,mkileta mambo meusi naharibu🤒
Kanisa liwe Dar es salaam maana nahamia huko soon.Tafadhali nipo seriously kabisa 🙏🙏🙏
Am in love with my country❤️
#Tanzania forever🙏
Kichwa Cha somo ni kujenga kanisa,sijui imekuwaje kabisa jamani