Kingsharon92 JF-Expert Member Aug 10, 2015 7,554 9,531 Dec 14, 2016 #4 Bhanamhala nilindagi naliza kolya na mabele hamhelo gabizeho
M miss_mbeya JF-Expert Member Mar 24, 2015 1,073 1,021 Dec 14, 2016 #6 Hicho chakula si cha ngosha wa mwanza labda ngosha wa dar
miss mbuja JF-Expert Member Nov 4, 2016 421 259 Dec 14, 2016 #7 Pilau,ndizi,mshikaki,ndizi,na kuku duhhh kweli mwili.haujengwi kwa matofali!
Aishah2016 JF-Expert Member Jun 11, 2016 2,225 2,482 Dec 14, 2016 #9 Chapa Nalo Jr said: Hicho cha dar au mikoani!? Click to expand...
McDonaldJr JF-Expert Member Sep 25, 2013 6,388 7,551 Dec 14, 2016 #10 Ukinywa na pepsi au coca cola ya moto lazima ulipuke mzee maana ilo ni bomu.
Iceman 3D JF-Expert Member Sep 3, 2016 20,614 67,078 Dec 14, 2016 #11 Huo mchanganyiko si tumboni unatengeneza sumu!!!?
Rhobi1961 JF-Expert Member Nov 4, 2015 888 681 Dec 14, 2016 #13 sasa hapo usiku tena unadai chakula!!!!
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Dec 22, 2014 178,204 1,077,385 Dec 14, 2016 #14 Ongejaga na mabele maboboto/maliboto...
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Mar 25, 2016 10,521 13,110 Dec 14, 2016 #15 Kwa milo ya namna hiyo ndomana mabango ya nguvu za kiume yamejaa huko dar,pigeni misosi kama hii mpate Afya bora
Kwa milo ya namna hiyo ndomana mabango ya nguvu za kiume yamejaa huko dar,pigeni misosi kama hii mpate Afya bora
Lizarazu JF-Expert Member Aug 23, 2015 6,334 7,868 Dec 14, 2016 #16 miss_mbeya said: Hicho chakula si cha ngosha wa mwanza labda ngosha wa dar Click to expand... Kweli kabisa gwakukaja
miss_mbeya said: Hicho chakula si cha ngosha wa mwanza labda ngosha wa dar Click to expand... Kweli kabisa gwakukaja
P Percival JF-Expert Member Mar 23, 2010 3,357 2,134 Dec 14, 2016 #17 kwa ngosha original hicho akipata ni kuchangamsha mdomo tu kasha anauliza mbona chakula hakiletwi !
donlucchese JF-Expert Member Mar 23, 2011 17,047 21,522 Dec 15, 2016 Thread starter #20 MNANSO said: wabeja ngoshaaaaa Click to expand... Wabheja kulumbaa