Tujadiliane: Kwanini Ulioa/Uliolewa? Unawashauri Nini Kataa Ndoa?

Tujadiliane: Kwanini Ulioa/Uliolewa? Unawashauri Nini Kataa Ndoa?

Kama mtu hajakulia kwenye nyumba ya baba na mama ni ngumu kujua umuhimu wa hao watu kwa watoto, Kama mtu anaona hasara ya kuzaa ina Mana hata yeye hawezi zaa. Wengine wamelelewa na bibi, shangazi, anko, baba , mama , dada hata ni watu wa kujitoa so ni ngumu huyo mtu kuisifu mvua Mana haijamnyea
Kifupi waponda Ndoa wengi ni wahanga wa mahusiano mabovu kati ya wazazi wao ni Bastards
 
Wakuu! Sababu zipi zilisababisha ukaoa ama ukaolewa? Unawashauri nini vijana ambao bado hawajaoa/kuolewa na wanao kataa ndoa kabisa?
Nilioa kwa sababu Ndoa ni utimilifu wa Nafsi yangu katika kulielekea Kusudi la kuumbwa kwangu. PEKE YANGU NITAPUYANGA😀
Ushauri wangu kwa wasio na Ndoa
1.Kama hujampata Mwenza akufaaye usiingie kwenye Ndoa!

2. Anaweza kuwa na sifa za kuwa Mke au Mume lakini asifae kuwa Mke au Mume wako wewe!

3.Usiikatae Ndoa kwa sababu ya maumivu uliyoyapitia kwenye mahusiano yaliyopita au kwa kufuata Mkumbo,kataa Ndoa kwa sababu umejiridhisha pasipo Shaka yoyote kwamba umeumbwa kumtumikia Mungu ukiwa singo!
 
Toeni michongo ya fursa kwa vijana , ndoa ndoa huu upumbavu kila siku mnauhamasisha na Hauna faida yoyote
 
Ndoa ni taasisi ambayo tayari imeshaanguka kwa kizazi cha vijana wa sasa.

Nitaishi na mwanamke pale tutakoposhindwana au hisia zikifa basi kila mmoja anaendelea na maisha yake memgine, lakini huu uxenge wa kuandikishiana mkataba halafu mahusiano yakifika mwisho mwanamke apewe share ya mali zangu hapana kwa kweli
Ndio NDOA ni taasisi Sure, Sema ni taasisi ambayo imeshambuliwa sana vijana kizazi cha sasa, sababu haijengwi katika misingi sahihi.

Unakuaje na hofu ya mambo ya mgawanyo. Mwanaume ni Provider and facilitator by nature, kwanini unakimbia Job description zako .🤔
Certified Hater Vincenzo Jr
 
Ustawi wa jamii uanza na msingi wa familia. Ili uwe na familia bora ni lazima baba na mama wakae pamoja na kuzaa watoto watakaowalea kwa pamoja. Mtoto apate malezi ya pande mbili.

Ndoa ndio njia sahii ya makubaliano kati ya mtu mme na mtu mke.
So sababu ni hizi.
1. Kujenga familia.
2. Kulea watoto pamoja.
3. Kulinda kizazi changu.
4. Kutoa upwiru.
5. Kupata mfariji.
6. Kupata wa kugombana naye.
7. Kuendeleza urithi wa kile nitakachotafuta duniani.

Kuishi na watoto bila ndoa ni kuviruga kizazi na ukoo wako.

Kataa ndoa at your own risk.

Vijana siku hizi legelege wanaogopa changamoto.
 
Ndio NDOA ni taasisi Sure, Sema ni taasisi ambayo imeshambuliwa sana vijana kizazi cha sasa, sababu haijengwi katika misingi sahihi.

Unakuaje na hofu ya mambo ya mgawanyo. Mwanaume ni Provider and facilitator by nature, kwanini unakimbia Job description zako .🤔
Certified Hater Vincenzo Jr
Natafuta baddie la kikurya niweke ndani.
 
Back
Top Bottom