Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,342
- 10,686
Ni sawa tu na kumshauri mtu anekaribia kutapeliwa. Hasikii kitu. Hahaha. Ila ndoa ni tamu vijana msiogope oeni.ushaanza vichambo
Ni sawa tu na kumshauri mtu anekaribia kutapeliwa. Hasikii kitu. Hahaha. Ila ndoa ni tamu vijana msiogope oeni.ushaanza vichambo
Hutamuweza dogo utapigwa tafuta muiraqw au mrangi🤣🤣 ndio mnaowamudu nyieNatafuta baddie la kikurya niweke ndani.
Mna mikwara sana ila wachumba tu.Hutamuweza dogo utapigwa tafuta muiraqw au mrangi🤣🤣 ndio mnaowamudu nyie
Ni wachumba ndio kwa wachumba zeitu. Unasema mikwara huku umebinua mdomoMna mikwara sana ila wachumba tu.
Kwa waliokusudiwa kuishi katika Ndoa kwao hao Ndoa ni zaidi ya hiyo unayoiita Michongo. Hata wawe na Michongo yote duniani still kuna ombwe litapelea kwenye Nafsi zao na FURAHA yao itakuwa na PENGO😀Toeni michongo ya fursa kwa vijana , ndoa ndoa huu upumbavu kila siku mnauhamasisha na Hauna faida yoyote
🚮Kwa waliokusudiwa kuishi katika Ndoa kwao hao Ndoa ni zaidi ya hiyo unayoiita Michongo. Hata wawe na Michongo yote duniani still kuna ombwe litapelea kwenye Nafsi zao na FURAHA yao itakuwa na PENGO😀
Jifunze kuheshimu wito wa wengine hata kama unakukereketa!
Kuna mwingine atalike😀
Sio kwamba ndoa haijajengwa kwenye misingi sahihi, isipokua kwa sasa ndoa ni outdated concept. Misingi ya ndoa ni sahihi kwa zama zile ambazo ndoa ilikua invented lakini zama zimebadilikaNdio NDOA ni taasisi Sure, Sema ni taasisi ambayo imeshambuliwa sana vijana kizazi cha sasa, sababu haijengwi katika misingi sahihi.
Unakuaje na hofu ya mambo ya mgawanyo. Mwanaume ni Provider and facilitator by nature, kwanini unakimbia Job description zako .🤔
Certified Hater Vincenzo Jr
Mali ndio heshima ya mwanaume mzee mwenzangu. In our modern days a broke man is uselessWe jamaa unapenda sana Mali
Ndoa ni taasisi ambayo tayari imeshaanguka kwa kizazi cha vijana wa sasa.
Nitaishi na mwanamke pale tutakoposhindwana au hisia zikifa basi kila mmoja anaendelea na maisha yake memgine, lakini huu uxenge wa kuandikishiana mkataba halafu mahusiano yakifika mwisho mwanamke apewe share ya mali zangu hapana kwa kwe
Wee naijua hiyo 😂Ni sawa tu na kumshauri mtu anekaribia kutapeliwa. Hasikii kitu. Hahaha. Ila ndoa ni tamu vijana msiogope oeni.
Acha uoga.Wee naijua hiyo 😂
Kabisa waoe tu changamoto zipo ila nilichogundua watu weng wanamaumivu na kaugonjwa ka kufananisha maisha yao na watu wengineNi sawa tu na kumshauri mtu anekaribia kutapeliwa. Hasikii kitu. Hahaha. Ila ndoa ni tamu vijana msiogope oeni.
Angalao kwa situation hiyo unaweza kucheza na vifungu vya sheria ukalinda mali zako. Lakini kama mwanamke ana cheti cha ndoa mkononi hapo uchomokiNa ukiishi nae zaidi ya meezi 6 mtagawana mali penda usipiende
Pia wanapenda kuangalia mabaya zaidi kuliko mazuri. Intelligent businessman hataki kabisa kuelewa.Kabisa waoe tu changamoto zipo ila nilichogundua watu weng wanamaumivu na kaugonjwa ka kufananisha maisha yao na watu wengine
Si mimi ni roho yangu, si mimi labda roho yangu, si mimi labda moyo wangu😁Pia wanapenda kuangalia mabaya zaidi kuliko mazuri. Intelligent businessman hataki kabisa kuelewa.