Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
mmmh hii mada imetawanyika sana hii ujue
hapa umeongea vitu zingi zingiiiiiiiii(ehehheh mtoto wangu mpaka kesho akitaka kumaanisha vitu ni vingi sana lazima aseme hili neno,zingiiiiiii)
naja!
huu ndo haswa mtazamo wangu....Kweli damkubwa kaongea vitu zingi.
Mimi nafikiri ni ngumu na si sahihi kulinganisha uoendo wa mama na mpenzi. Kila mtu ana aina yake ambayo haiwezi zibwa na mwingine.
FP ni mtoto, mama na mke pia. Waweza sema wampenda mama yako kuliko mume au mwanao kuliko mama au mumeo kuliko mama au mwanao? Sidhani. So hiyo kauli mimi siiafiki.
ha haaa, fanya urudi....mmmh hii mada imetawanyika sana hii ujue
hapa umeongea vitu zingi zingiiiiiiiii(ehehheh mtoto wangu mpaka kesho akitaka kumaanisha vitu ni vingi sana lazima aseme hili neno,zingiiiiiii)
naja!
huu ndo haswa mtazamo wangu....
nilikutana tu na hiyo ya kusema mapenzi ya mama ni makubwa kuliko yoooteeeee!
nikawa najiuliza ni kweli? unaweza kwa uhakika kulisema hilo?
mimi najua kabisa siwezi kusema hivyo, maana siwezi kupima mapenzi wa wengine kwangu.....
baba? mume? wanangu? kaka? dada? rafiki?
ha haa, si unanijua dadako?mmmh hii mada imetawanyika sana hii ujue
hapa umeongea vitu zingi zingiiiiiiiii(ehehheh mtoto wangu mpaka kesho akitaka kumaanisha vitu ni vingi sana lazima aseme hili neno,zingiiiiiii)
naja!
umeona eeeh!of course huwezi pima mapenzi ya mtu mwingine towards you, lakini waweza pima au compare mapenzi yako kwenda kwa watu wengine, ndio maana unaweza jiweka kwenye viatu vya mama as mama na kujiuliza kati ya mumeo na mwanao wampenda zaidi yupi? Na mara nyingi ni kila mtu anapendwa kwa nafasi yake.
ha haaaa, kwenye moyo hapo ishia hapo hapo....mapenzi ni mada panaaaaa
inategemea unaitafsiri vipi kwa mtu na mtu
mapenzi nayompenda mangi wangu haiwezi kuwa sawa na mapenzi nayompenda mzee k au mama k
mapenzi nayompenda toto sio sawa nayompeda dadangu
na mapenzi nayompenda rafiki yangu sio sawa na mapenzi nayompenda shosti wangu!
so nafkir kila mmoja nampenda kwa nafasi yake
kuna mahisia siwezi kumuonyesha mama k jamani but kwa mangi ni poa
kuna mapenzi naweza kumuonyesha mtoto wangu siwezi kumuonyesha rafiki yangu!
ehehehh speaking of it basi huuu moyo una chamber nying sana aseee!
yani wen i come to think of it kiukweli moyo wa mwanadamu ni mpana sana!mnoo!
unamtendea haki mtu mwingine yeyote anayekupenda kwa haya maneno yako?Mom's love is unconditional.........
yani mi najua hamna anaenipenda saana zaid ya mama angu
kanifanyia mambo mengi achilia mbali kunilea katika tumbo lake miezi 9
nawazaga sana hivi without her mimi HOE ingekuwaje na misukosuko niliyopitia!!!!!!!!!!!!!!
yaani najua ananipenda sana may be if my dad was alive ningeweza kusema tofauti ila kwa
kukua kwangu hadi kesho na keshokutwa mapenzi ya mama kwangu ni zaidi ya vyovyote
Kweli damkubwa kaongea vitu zingi.
Mimi nafikiri ni ngumu na si sahihi kulinganisha uoendo wa mama na mpenzi. Kila mtu ana aina yake ambayo haiwezi zibwa na mwingine.
FP ni mtoto, mama na mke pia. Waweza sema wampenda mama yako kuliko mume au mwanao kuliko mama au mumeo kuliko mama au mwanao? Sidhani. So hiyo kauli mimi siiafiki.
EHEHEHHEHHEEHHHE !shikamooo dadakubwa!ha haaaa, kwenye moyo hapo ishia hapo hapo....
usiendelee kuwa waweza penda mangi wa3 kwa wakati mmoja..... nitakurudisha kwa mama k kujifikiria upya....
thanx mwalimu wetu wa ukoo, umefafanua vema kabisa.
kwa hiyo niwe na amani tu kuhusu huo usemi wa kupendwa sana na mama kuliko mtu mwingine yeyote?