Tujadili: .....Unconditional love....

umewahi kuwauliza kwa nini wanasema hivyo?

umenisoma na mimi kwa nini nasema nilivyosema?

imagine, nmjua Bei mbaya kuwa ni abuser, jambazi sugu na sex offender lakini bado nampenda na ninataka kuishi naye. I mean nakupenda jinsi ulivyo na mitabia yako mibaya, l love you no matter what (unconditionally) Sio upofu huo?
 
Unconditional? Si kama mapenzi ya mzazi kwa mwanae hivi?

Yanatokea kwenye mahusiano ya mdada na mkaka kwenye real life au ni kwenye movie tu!
 
Un-conditional love exists but sio kwamba iko kwa maana ya kumpenda mtu bila sababu. Binadamu yeyote anayefikiri anakuwa na sababu za kufanya kile anachokifanya. Sidhani kama unakuwa zombie,ila nadhani unapunguza wakati mwingine kufikiri vizuri either kwa kutamani sana huyo mtu au kile unachokitaka kutoka kwake.....Kaunga.....:high5::high5::high5:
 
Jesus gave the parable of the Good Samaritan as an example of sacrifice
for the sake of others, even for those who may care nothing at all for us, or
even hate us, as the Jews did the Samaritans. Sacrificial love is not based on
a feeling, but a determined act of the will, a joyful resolve to put the
welfare of others above our own. But this type of love does not come naturally
to humans. Because of our fallen nature, we are incapable of producing such a
love. If we are to love as God loves, that love-that agape-can only come from
its true Source. This is the love which "has been poured out in our hearts
through the Holy Spirit given to us" when we became His children (Romans 5:5). Because that love is now in our
hearts, we can obey Jesus who said, "I give you a new commandment, that you
love one another. As I have loved you, you should also love one another" (John 13:34). This new commandment involves loving
one another as He loved us sacrificially, even to the point of death. But,
again, it is clear that only God can generate within us the kind of
self-sacrificing love which is the proof that we are His children. "By this we
have known the love of God, because He laid down His life for us. And we ought
to lay down our lives for the brothers" (1 John 3:16). Because of God's love toward us, we
are now able to love one another.
 
Kwa wanadamu ni ngumu sana.Tumezaliwa na ubinafsi..Kama wapo wenye unconditional love basi ni wachache sana..1Kor 13
 
imagine, nmjua Bei mbaya kuwa ni abuser, jambazi sugu na sex offender lakini bado nampenda na ninataka kuishi naye. I mean nakupenda jinsi ulivyo na mitabia yako mibaya, l love you no matter what (unconditionally) Sio upofu huo?
is it complete?, is it timeless?

Kaunga kwa ubinadam wangu siwezi 'tenda kwa ukamilifu nayowaza mema juu yako'
 
Waoh, kwa maneno mengine, true unconditional love ni kwa mzazi mtoto tu?
Hapana dada @kaunga , sio kwa wazazi na watoto tu. Hata wapenzi huwa na unconditional love.
Na vipi kwa wazazi ambao sio tu wanatelekeza watoto wao lakini hata ambao wanawapenda watoto ambao wanafanya vizuri kwenye maisha na kuwaignore wale ambao ni failures?

Huwa nawachukia sana wanao watelekeza watoto wao, japo muda mwingine inawawia vigumu katika kuyasukuma maisha yao ila haipaswi kuwatelekeza. Kuhusu kuwapenda watoto wanaofanya vizuri na kuwaignore wale wasiofanya vizuri huo tuuite UBAGUZI
.
 
Yanatokea kwenye mahusiano ya mdada na mkaka kwenye real life au ni kwenye movie tu!


Karibu Michelle, long time jamani, are you okay?
Nimependa ulivosema hapo juu, umeleta tofauti
kati ya penzi "bila masharti" na "bila sababu"
Kaunga, Hakuna kitu kama penzi bila sababu.
But binadam anaweza kupenda bila masharti
 
Last edited by a moderator:
is it complete?, is it timeless?

Kaunga kwa ubinadam wangu siwezi 'tenda kwa ukamilifu nayowaza mema juu yako'

Nimekuelewa; kwenye bold anayeweza ni Mungu tu, na bado binadabu kwa ufahamu wetu mdogo kuna baadhi ya vitu Mungu akitenda au kuruhusu vitendeke basi tunamlaumu na pengine kumuasi kabisa. So if that is the case (still in bold) then hakuna kitu kama unconditional love, ni uzombie tu wa baadhi ya watu right?
 
Unconditional love is a term that
means to love someone regardless of the loved one's qualities or actions..
 
wewe nawe Mkuu Speaker haujiamini tu, halafu mpaka leo una post 6,070 hujaoa unasubiri nini aisee???
 
Karibu Michelle, long time jamani, are you okay?
Nimependa ulivosema hapo juu, umeleta tofauti
kati ya penzi "bila masharti" na "bila sababu"
Kaunga, Hakuna kitu kama penzi bila sababu.
But binadam anaweza kupenda bila masharti

Asante dearest, am fine and its nice to see you here again.....:smile-big:
 
Karibu Michelle, long time jamani, are you okay?
Nimependa ulivosema hapo juu, umeleta tofauti
kati ya penzi "bila masharti" na "bila sababu"
Kaunga, Hakuna kitu kama penzi bila sababu.
But binadam anaweza kupenda bila masharti

Nakubaliana nanyi kuwa hakuna penzi lisilo na sababu; kwani moja ya sababu universally ni "agizo la Mwenyezi Mungu" kwa agape love, na hata kwa He-She relationship ni kwasababu "you like each other enough to want to be together" pamoja na intimacy, security, kupata watoto etc.
Sasa tukirudi kuhusu dhana ya 'bila masharti', je pengine ni baadhi ya hizo sababu ndizo zinazalisha hizo conditions? mfano, nahitaji financial security; si nitalazimika kuweka kipato as kigezo (sharti); au kama mbaba anataka watoto basi age ya mtarajiwa si muhimu hata kama yeye ni mbabu?
 
Unconditional love is a term that
means to love someone regardless of the loved one's qualities or actions..

Sio uzombie?
Halafu kwanini love connect mnaweka misururu ya conditions?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…