Mie mtu akinambia kuwa ana Plan A pekee ila pia anaiba mara moja moja nitamwelewa. Ila yule ambaye anasema kwamaba anamaitain A, B, C...etc na kutoa huduma zote basi nitamwogopa sana...
Anyway...ngoja niishie hapa kwani akina Dena Amsi wanaweza kunambia nimepitwa na wakati...lol!
Babu DC!!
ha haaa, babu unataka kumpa nani hiyo dawa?Hakuna kitu kama hicho mkubwa mwenzangu, ni utapeli tu kama utapeli mwingine.....
Kama kweli hiyo dawa ipo, basi naomba anipatie mimi.....
Babu DC!!
hapo kwenye red hapo.. ndo imekuwa fashion siku hizi.. they don't actually say kwamba ni plan B.. ila wanaita multiple choice.. ila kwa wadada wanaotafuta ndoa kwenye multiple choice mara nyingi wanakuwa wao picked up Kaizer.. unajua ni kwanini..? kwa sababu wanafuata taratibu zote za uke tarajiwa kwa kuwa wapole.. wasikivu.. wanyenyekevu.. wenye upendo.. all that in a full package (japo baadae wakishaingia ndani ya ndoa wengine wataonyesha their true colors)..
Sasa wana jamvi naomba tujadili kuhusu:-
- ulazima au umuhimu wa plan B
- Kiini cha tatizo hasa ni nini?
- Nini kifanyike ili hii hali isiendelee?
hizo plan b ni sign ya kutokuwa mwaminifu.......
kama ishu ni kuwa umependa afu mupenzi haeleweki na huwezi kuvumilia fu*k off!!!
sioni sababu ya kuwa na msululu wa wanaume kama bata!!!!!!!!!
Sasa kama upande mmoja wa shilingi unataka kuolewa, na mwingine unataka raha ya mapenzi (na ela), utafanyaje wakati muoaji huyo sio 'sensual'... au hela hana...
mshika mbili.....!!!!!!
Ikichomoka moja walau anabaki na moja...
ha haaa, babu unataka kumpa nani hiyo dawa?
kuna wajukuu ambao wanahitaji kufiliana?
kwa ninavyoona pale kwangu kadiri tunavyoelekea utu uzimani ndo jinsi mafeelings yanavyozidi kuongezeka.
Nina uhakika kwako pia babu
Ha ha ha kweli umepitwa na wakati eti huna Plan B thats a pure lie bana wewe mzee wewe ukose Plan B thubutu
Halafu wewe Dena Amsi wewe,...tumeanza lini kutwishana tuhuma bila ushahidi??
Ngoja niombe mwongozo ili Madam Speaker anisaidie...ama ufute kauli au umwage ushahidi..lol
Babu DC!!
Ukiona mtu anakuja juuu kama kifuu cha moto ujue kimemgusa moto umewaka ha ha ha Habari yake bana??!!!! Chiti Chat ndo mpango mzima nini wewe mzee
Haya bwana,
Naomba niishie hapa, najua kuna mahali tutakamatana tu.....!!
Babu hajambo kabisa na pensheni yake bado inamtosheleza....
Babu DC!!
Kaunga unasema Plan B...lolz.....naiona kama ni mada ngeni japo ni challenging!..Kama ulivosema kwa zamani nadhani ilikuwa ngumu kidogo as compared na sasa...Nadhani ni kawaida kwenye maisha kuwa na 'back up' in case ukitokea wakati wa emergence ukapoteza kitu flani basi kiulaaiiini unachukua akiba yako....Lakini kwenye mahusiano nadhani ni ngumu kidogo kuiweka kwenye uhalisia hasa kwa watoto wa kiume..Japo nahisi kwa watoto wa kike inaweza kuwepo (manake wanafuatwa)....Katika zama za sasa ambapo mwolewaji/muoaji ndio wanakuwa 'centre' of everything kwenye ndoa nahisi 'backups' zinaweza kuwepo unlike zamani ambapo 'wazazi' ndo walikuwa 'play makers' kwenye 'uoaji/uolewaji wa watoto wao...
Nadhani kimsingi hakuna Tatizo kuwa na Plan B...as long as mtu akishakuwa committed na mwingine hadi ndoa basi ataachana na backups zote. UZURI wake ni kuwa inasaidia sana hasa kipindi hiki ambamo WASANII wamekuwa wengi... Ndoa zimekuwa kama 'a certain stage of life' ambayo unalazimika tu kuipitia but is not something that is driven by love between the two...Na kwa sababu siioni kama ni tatizo siwezi shauri sana mbinu za kuachana nayo..................
Plan B ni ushetani tu. Sidhani kama ni unadhifu. Mijitu kibao iliyoko kwenye ndoa mijike kwa midume ni mifilauni kuliko hata wale walioko mtaani single. Unaacha mume wako na mkeo nyumbani unaenda nyumba ndogo does it make sense? Nahisi kama huyu shetani tunamistreat sometime.Plan B ni kwenye mambo yenye maendeleo tu siyo ndoa. Wengine wanaona ndogo kama ni kitu rahisi na mzaha.