Tujadili: Kwanini wake za watu ni warahisi sana siku hizi??

Wallah umenikosha nakuja Pm
 

Kuna kipindi katika maisha inakua ni maalumu kwa ajili ya kutafuta kipindi nakutafuta sikua na majukumu yeyote jukumu langu kuu lilikua kuhakikisha una furaha lakini sasa nina familia nihakikishe unakula watoto wanakula mnaenda shule bills zinalipwa nachoka nahitaji mtu wa kuniambia we got this everything gonna be okay lakini instead ninachopata ni kuchekupkwa kisa simpi furaha damn it


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…