Tujadili: Kwanini wake za watu ni warahisi sana siku hizi??

Hali ni mbaya sana, wake za watu wamekuwa warahisi sana, wanatafunwa kirahisi mno, mbaya zaidi hawaoni Shida kutoa siri za mume wake kwa mwanaume wa nje, kifupi ukigundua mke wako ana mwanaume nje Muache maana siri zako zote kale kamchepuko atakuwa nazo..

Nini tatizo enyi wanawake??

Nasisi wanaume tunaowatumia wake za watu tumegundua wapi kuna udhaifu kwa hawa wanawake ili tuliooa tujitahidi kuuziba huo udhaifu na ambao hatujaoa tujifunze ili tukioa tuwe makin..

HALI INATISHA, NDOA HAZINA HESHIMA TENA,....

tujadili...

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume waliooa hawahongi wake zao wanaenda kuhonga michepuko
 
Watu wana comments kwa kuvizia Viburudisho...!
Naona mnamwekea Mdhamana Mwanamke! Hahahaaaaa....!

Believe me kuna Mme wa Mtu hapa anasema "Oohh! Wakati mnaanza, ulikua ukipiga shoo ya kibabe.......now days Hamna...!"

Na mkewe may be yupo hapa hapa naye anasema "Kwani ukila Mke wa mtu kimya kimya utaumwa.....?!"
 
Back
Top Bottom