Tujadili: Kwanini wake za watu ni warahisi sana siku hizi??

Wanaume mliooa hamtekelezi majukumu yenu ipasavyo,nyie mnaona mkitoa hela za matumizi na bills zote ndo uanaume huo..mnajisahau kwenye kubembeleza na kufanya majukumu ya ndoa ipasavyo...hamuwasifii wake zenu,hamuwatoi out,hamuwapi haki ya ndoa ipasavyo so akikutana na mtu anayefanya haya ni kugusa tu kama kuwasha gari zero kilometer
Ni kweli ila hapo kutoa hela kwa sasa kuna changamoto sana. Pesa imekuwa adimu huku wanawake wamekuwa ndiyo watafutaji wa pesa kuendesha familia kuliko wanaume.
Kumkaza mwanamke inategemea na mwanamke jinsi alivyo na wanawake wanatofautiana sana. Na usifikiri ukishika mwanamke ni kugonga tu mara umeweka hivi mara vile la hasha unaweza ukapiga ukafiri ndiyo umemkaza kumbe umepoteza nguvu zako bure
N.B
Kila mwanamke ana style yake ya kufika kileleni. Kwahiyo ni vema ukajua ni style gani mwenzi wako anapendelea na sehemu za kumshika ili kuamsha hisia
 
Back
Top Bottom