umekariri tu kuchange server hebu tafuta operamini mod from v. 1.27 hadi 4.21.....uone features zake mpaka zina download manager halafu linganisha na official operamini uone halafu kwa taarifa wale jamaa ni hackers balaa
Me ni mpenzi wa kudownload hapa naipa credit UC Browser sijaona mpinzani hata kidogo, hii ni kiboko ya browser kene sector ya kudownload as ina downloading stability nzuri sana kiasi kwamba unaweza zima simu ukiwasha unaenda endelza pale ilipo ishia, pia ina support streaming ya codec ambazo ziko supported na device yako, yaani mfano mp3 file uki click download ina kuuliza play online ama download hapo una play online kitu ina stream bila utata, unakuja na built in flash player + java script inayo vutia,
The ugly thing ya hii browser ni inakula memory kama haina akili nzuri yaani browser file ina 6.7MB but after sone times uf uses inafikisha hadi 30MB pia inaleta WEB page kama zilivyo hapa ni umalizaji wa bundle kama nini
Running UC Browser 8.4.1 in Android
I dont even know what to use nina opera, google chrome, mozilla firefox zote natumia interchangeably and I love em all! Heri yenu wenye Uc and Dolphine
kwani google chrome ina mobile version?
Nimetumia browser inaitwa BOLT.. Sema tu sio maarufu,ila ni bonge la dude. Ilikubali kwenye S60. Niliitoa getjar ila siku hz haimo
Samahan hivi nini maana hasa ya s60 maana natumia e 63 halaf nakumbanaga sana na hilo neno
siku hizi wabongo bana, mtu akiwa na loaders za window za kudownload, akawa na cracker za softwares za kudownload, na kuedit themes na mambo mengine basi utaskia ashaanza kujiita hacker. Hacking ni kitu kikubwa sana aisee si kupodoa operamin kwa theme na ku crack software. Walau hata skidrow akijiita hacker wa magames ntampgia salute.
Back to the topic kwa upande wangu nimetumia browser nyingi za simu but upera kwangu itabaki kuwa the best despite of its weakness ila ni simple, ina graphic interface nzuri na ni rahisi kwa mtumiaji na ina compress data so ina minimize cost.
kuhack ni balaa maana huwa wanaojiita mahacker ni wengi na vipi kuhusu yule mwanaJF wa kule jukwaa la dini yeye ni hacker au ni mtu gani maana alikuwa na kesi huko marekani kuhusu wizi wa mtandaoni ni MaxShimba
Aisee,hii BOLT BROWSER si walishafirisika,kwani wamerudi tena?Nimetumia browser inaitwa BOLT.. Sema tu sio maarufu,ila ni bonge la dude. Ilikubali kwenye S60. Niliitoa getjar ila siku hz haimo
kwani google chrome ina mobile version?
sina uhakika. Ndo maana nikasema getjar siku hz haimo...Aisee,hii BOLT BROWSER si walishafirisika,kwani wamerudi tena?
chief-mkwawa me natumia samsung 5360 je naweza kuipata hiyo UC browser?