Tujadili kuhusu Mobile browsers

Nimetumia browser inaitwa BOLT.. Sema tu sio maarufu,ila ni bonge la dude. Ilikubali kwenye S60. Niliitoa getjar ila siku hz haimo
 
mimi natumia opera min 6. kwenye simu samsung m3200 javascript,ila ni slow sana sijui nitumie browser ipi?
 
Jamani nimejaribu kila aina ya browser including BOLT, na zote mnazozijua lakini bado sijaona badala ya Opera mini tena version ya opera mini mod 4.2 hiyo kwangu sijaona inayoipiku japo zimefikia mpaka 10.

Sasa Opera mini mod ndizo balaa hata kale ka version 1.27 kana speed kinoma
usicheze na waRussia ni noma kwa kuchakachua kila mahali na ukitaka kuwaona wanavyofanya Tembelea ModMyMobile Forums kisha mnipe majibu
yaani wanamodify kila kitu
 
duh kumod opera pia ni balaa? Its easy sana humu ndani pia wengi wana mod na opera moding haibadilishi kitu just unachange proxy server mfano labda ilikua server4.operamini.com iwe mini5.opera-mini.net au kuchange themes na vitu vifananiavyo.
 
Used mozilla, Opera mini, chrome, Opera mini and opera mobile but none is like Dolphin browser...the list of my priority(descending in priority) is
-Dolphin browser
-Opera mini
-Opera mobile
-Chrome
-Mozilla firefox.
 
Nina Ucweb kwenye smartphone htc S740 yenye windows 6.1 standard yenyewe naona haina javascript. Pia tukumbuke hizi ucweb zipo file extension aina nyingi kwa mfano kwa winmobile ni .cab, Symbian ni .sis, na kwa java ni .jar etc. hivyo hii nayo yaweza kuleta tofauti kulingana na application yenyewe ilivyoundwa

mkuu extension inakua tofaut kwakila operating system .. Kama ilvyo kwenye windows ni .exe... So utofaut wa extension ni kwa appz zote sio ucweb tuuuu.... But appz za java (jar,jad) huwa zna run hata kwenye other operating system kama symbian nk,..
 
Nimetumia browser inaitwa BOLT.. Sema tu sio maarufu,ila ni bonge la dude. Ilikubali kwenye S60. Niliitoa getjar ila siku hz haimo

hawa walifilisika.... Ila hii ilkua na weaknes 1... Yenyewe ina desktop view tuu.. So huwez tembelea website kama waptrick na other mobile site
 
mkuu extension inakua tofaut kwakila operating system .. Kama ilvyo kwenye windows ni .exe... So utofaut wa extension ni kwa appz zote sio ucweb tuuuu.... But appz za java (jar,jad) huwa zna run hata kwenye other operating system kama symbian nk,..
Sijakataa sema tu ni ugumu wako kuelewa huwezi linganisha .jar na .sis ingawa zote zinarun kwenye symbian .sis ina nguvu. Ulishawahi kuona antivirus ambayo ni .jar
 
duh kumod opera pia ni balaa? Its easy sana humu ndani pia wengi wana mod na opera moding haibadilishi kitu just unachange proxy server mfano labda ilikua server4.operamini.com iwe mini5.opera-mini.net au kuchange themes na vitu vifananiavyo.
umekariri tu kuchange server hebu tafuta operamini mod from v. 1.27 hadi 4.21.....uone features zake mpaka zina download manager halafu linganisha na official operamini uone halafu kwa taarifa wale jamaa ni hackers balaa
 
kwani opera ya kawaida haina download manager? As i told u hamna kipya zaidi ya kuchange proxy maana browser ya simu yoyote unayoijua wewe lazima itumie proxy so unapochange kwenda proxy yenye watu wachache speed na perfomance inaongezeka.

Kuhusu hizo version hata kwa note pad unachange na mimi naweza weka yangu version 13 ili nionekane mjanja kumbe sjafanya kitu

unajua msimamo wangu kuhusu hackers? Hua mtu anaejidai yeye ni hacker namruhusu ahack id yangu kwanza then ntamuamini na kumpa reward juu. Hawa watu wanaoitwa mahacker wapo wachache sana duniani na sio copycat kama unaowasema wewe
 
Mie pia natumia UC Browser iko poa ila inamaliza haraka sana bundle ka ulivyosema,nilikuwa cjatambua so nikahis airtel wananipiga changa la macho
Me ni mpenzi wa kudownload hapa naipa credit UC Browser sijaona mpinzani hata kidogo, hii ni kiboko ya browser kene sector ya kudownload as ina downloading stability nzuri sana kiasi kwamba unaweza zima simu ukiwasha unaenda endelza pale ilipo ishia, pia ina support streaming ya codec ambazo ziko supported na device yako, yaani mfano mp3 file uki click download ina kuuliza play online ama download hapo una play online kitu ina stream bila utata, unakuja na built in flash player + java script inayo vutia,
The ugly thing ya hii browser ni inakula memory kama haina akili nzuri yaani browser file ina 6.7MB but after sone times uf uses inafikisha hadi 30MB pia inaleta WEB page kama zilivyo hapa ni umalizaji wa bundle kama nini

Running UC Browser 8.4.1 in Android
 
Mie pia natumia UC Browser iko poa ila inamaliza haraka sana bundle ka ulivyosema,nilikuwa cjatambua so nikahis airtel wananipiga changa la macho

ila mkuu tuwekane sawa hapa kuhusu ucweb kula bandwitch kuna vitu viwili muhimu vya kunote.

1. Quality ya image
kwenye opera default quality ya image ni low so data nayo inaenda kidogo wakati ucweb quality ya image ni normal so data zinaenda nyingi kusave data hapa inabidi uchange setting za ucweb zioneshe picha kwa low quality au micro kabisa.

Hapa utaenda menu then setting then preference then appearence

2. Access wap via server
opera data zote zinakua accessed kwenye proxy zao ambazo zinacompress data na kukutumia wewe lakini ucweb by default haina hii mpaka uienable ndo inakubali. Kuieka hii on kutasaidia kusave bandwitch pia.

Kuieka on nenda menu then setting then preference then advanced eka one.

Hope hili ni tatizo linalotatulika
 
Asante mkuu ngoja nirekebishe settings manake naona naingia gharama za bando sana....

Back
Top Bottom