Tujadili kuhusu Mobile browsers

umekariri tu kuchange server hebu tafuta operamini mod from v. 1.27 hadi 4.21.....uone features zake mpaka zina download manager halafu linganisha na official operamini uone halafu kwa taarifa wale jamaa ni hackers balaa

hakerz? Dah.... Hv kwa mfano hawa wanaoweka androids in nokia pia watajiita hakerz? Af hao kina anonymous na walio wah kuhack mpaka website za nasa na fbi wajiite vp?
 
Me ni mpenzi wa kudownload hapa naipa credit UC Browser sijaona mpinzani hata kidogo, hii ni kiboko ya browser kene sector ya kudownload as ina downloading stability nzuri sana kiasi kwamba unaweza zima simu ukiwasha unaenda endelza pale ilipo ishia, pia ina support streaming ya codec ambazo ziko supported na device yako, yaani mfano mp3 file uki click download ina kuuliza play online ama download hapo una play online kitu ina stream bila utata, unakuja na built in flash player + java script inayo vutia,
The ugly thing ya hii browser ni inakula memory kama haina akili nzuri yaani browser file ina 6.7MB but after sone times uf uses inafikisha hadi 30MB pia inaleta WEB page kama zilivyo hapa ni umalizaji wa bundle kama nini

Running UC Browser 8.4.1 in Android

Yap kaka natumia UC browser kwenye android vilevile ila ina kula space sana kuna ananishauri dolphin browser ila nilii tumia hapo mwanzo naona ipo kama phone browser je wadau dolphin ina ukubwa gani????
 
Kwangu Best ni Opera mini,kama nikitaka kulog in kwenye email natumia Mozilla android kusoma soma pages natumia chrome,Dolphin natumia nikitaka kuprint hyo screen na kushare na social forums!!!
 
siku hizi wabongo bana, mtu akiwa na loaders za window za kudownload, akawa na cracker za softwares za kudownload, na kuedit themes na mambo mengine basi utaskia ashaanza kujiita hacker. Hacking ni kitu kikubwa sana aisee si kupodoa operamin kwa theme na ku crack software. Walau hata skidrow akijiita hacker wa magames ntampgia salute.
Back to the topic kwa upande wangu nimetumia browser nyingi za simu but upera kwangu itabaki kuwa the best despite of its weakness ila ni simple, ina graphic interface nzuri na ni rahisi kwa mtumiaji na ina compress data so ina minimize cost.
 
Nimetumia browser inaitwa BOLT.. Sema tu sio maarufu,ila ni bonge la dude. Ilikubali kwenye S60. Niliitoa getjar ila siku hz haimo

Samahan hivi nini maana hasa ya s60 maana natumia e 63 halaf nakumbanaga sana na hilo neno
 
siku hizi wabongo bana, mtu akiwa na loaders za window za kudownload, akawa na cracker za softwares za kudownload, na kuedit themes na mambo mengine basi utaskia ashaanza kujiita hacker. Hacking ni kitu kikubwa sana aisee si kupodoa operamin kwa theme na ku crack software. Walau hata skidrow akijiita hacker wa magames ntampgia salute.
Back to the topic kwa upande wangu nimetumia browser nyingi za simu but upera kwangu itabaki kuwa the best despite of its weakness ila ni simple, ina graphic interface nzuri na ni rahisi kwa mtumiaji na ina compress data so ina minimize cost.

kuhack ni balaa maana huwa wanaojiita mahacker ni wengi na vipi kuhusu yule mwanaJF wa kule jukwaa la dini yeye ni hacker au ni mtu gani maana alikuwa na kesi huko marekani kuhusu wizi wa mtandaoni ni MaxShimba
 
Last edited by a moderator:

ila mkuu kuna kitu hichi inabidi tunote mtu unaweza fanya hacking lakini usiwe hacker bali ukafuata maelekezo ya hacker then ukafanikiwa kuhack.

Mfano software za adobe anaweza kuwa amecrack thething then mimi nikafata maelezo yake nikafanikiwa kucrack halafu nikadakwa nkashtakiwa mimi. Watu wataniita hacker lakini ukweli sio.
 
Last edited by a moderator:
Nimetumia browser inaitwa BOLT.. Sema tu sio maarufu,ila ni bonge la dude. Ilikubali kwenye S60. Niliitoa getjar ila siku hz haimo
Aisee,hii BOLT BROWSER si walishafirisika,kwani wamerudi tena?
 
Jamani mimi nina samsung d 780 tatizo ni OPERA MINI kila nikitumia inaniambia failled to connect ingawa hapo mwanzo nilikuwa naitumia vzr.Voda walinitumia wap setting lakini kila ninapotaka kufungua JF tatizo ni connection failled.
Mwenye kujua namna gani nifanye ili opera ifanye kazi anisaidie,maana kwasasa siwezi kupata taarifa yoyote kupitia mtandao pendwa JF. Kwa mahali nilipo vodashop pia ni tatizo wataalam msaada wenu wa hali na mali angalau nirudi hewani kupitia simu yangu. Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom