lol.ushaharibu hali ya hewagive me money i will trust u...
Duu hii umenikumbusha kitu, kuna shemeji yangu (Mke wa kakaangu) ana kesi mahakamani lakini mmewe alikuwa hajui mpaka siku moja ilipotoka habari gazetini zile wanaziita 'kutoka mahakamani kwa ufupi', ishu ni kwamba alikuwa ananunua kiwanja kwa siri na ametapeliwa Tshs M26, wakati huo huo wanaishi kwenye nyumba ambayo haijafanyiwa finishing kutokana na familia kutokuwa na pesa.
lol.ushaharibu hali ya hewa
Aisee, mimi naona ni kama kuwa paranoia fulani hivi when you live around too much machale. Usiniulize what is too much and what is too little; yaani kuna watu muda wote wanahisi kutendwa tu hawana amani kabisa, nilikuwa na jirani yangu yeye kila mtu au anamuhisi mchawi au kama ni mwanamke basi anamzengea mumewe. Honestly nilikuwa namuhurumia.
hapo hapo ndo mnapoharibu kuhitaji fedha na mapenzi kwa pamoja!!
.unajua, kwa #AfyaYaAkili yako mwenyewe, jitahidi kujizuia mambo .kwa "kiasi" au #KiwangoMaalum.
Ukiendekeza sana haya #Machale kiasi kwamba #UnashindwaKuReason, utajikuta unakuwa "Mtumwa"
wa fikra ndio inazaa hizo Paranoia!
#Machale sio lazima yakutoe raha, .yapo kwa ajili ya kukusaidia kukusukuma mpaka mwisho wa mpaka kabla
mambo hajajafikia #ThePointOfNoReturn!
Lara please, naamini wewe ni kati ya watu ambao huishi kimachale please share what is wrong with trusting another person apart from yourself?
If a person takes advantage of your trust once SHAME ON HIM but twice dear, then its SHAME ON YOU definitely! In God we trust but in humans we speculate!
….unajua, kwa #AfyaYaAkili yako mwenyewe, jitahidi kujizuia mambo ….kwa "kiasi" au #KiwangoMaalum.
Ukiendekeza sana haya #Machale kiasi kwamba #UnashindwaKuReason, utajikuta unakuwa "Mtumwa"
wa fikra ndio inazaa hizo Paranoia!
#Machale sio lazima yakutoe raha, ….yapo kwa ajili ya kukusaidia kukusukuma mpaka mwisho wa mpaka kabla
mambo hajajafikia #ThePointOfNoReturn!
usijal am joking.. umebadilisha mood kabisa kutamka hela jamani... ila napenda hela ..
usaliti umesababisha watu waishi kwa machalemachale tu na wasiwasi wa huyu atanifanyia nini na lini
hii hali inaleta ubinafsi tu
kwangu mie ni heri nikamuamini tu mtu niwe na amani kuliko kukaa na wasiwasi muda mwingi[/QUOTE]
Me too my dear.