The Boss kuja hapa kutetea kiti chakoim the antidote to ALL your man problems. hii picha ina maelezo zaidi
View attachment 86895
Mbona kuna wadada na wakaka wa kawaida kabisaa, wameng'ang'aniwa na wapenzi wenye pesa? mi nadhani ni bahati tu.au the way you play your cards
Kweli kabisa, coz naempenda mie nimkeep wala hana mvuto wa muonekano kama anaenipenda, he just luck some man candy flavour,lolest......playing ur cards it is!
haihitaji kuwa the most gorgeous man kuwa attractor wala the most glamoured girl kuwa keeper i see!
Unajitahd sana kama tu hayo unayoandika ndo unayoyafanya.
hizo ndio strategy zangu my brother... kuna mapungufu ya kibinadamu but im trying my level best!
😛layball:jipange labda unatanguliza hizo pesa zako mbele badala mapenzi ndo maana wanaume wanakuogopa au unataka kumtawala mwanaume sabab ya pesa hawez kubal ni bora asepe.utaishia kuchezewa badilika............