Shoot!!!!!
What do you need to do or behave ili kumkeep? Share pls you might someone pia.
ahahahahahhaha rev mother naomba nitoe angalizo!
kimfano kwa sisi tulio kwenye ndoa lakini ni makeeper na maattractor
tunaruhusiwa kutoa uzoefu!
manake kuna mazombie yapo tu maeneo yanasubiri mkono udondoke( cc FP )
af kuna maaatracted wapo tu mradi nao wapate nusu hasara ,
hapo nimesaidia kudadavua?
:A S 39:manake na mi si wanijua wakati npo shule labda nilikuwa testa wa bhange!
respect,confidence,patient,much love,accountability etc etc and prayers bcoz only God knows when and where i will get what i need
ndo maana ukawa mlongo wangu......ahahahahahhaha rev mother naomba nitoe angalizo!
kimfano kwa sisi tulio kwenye ndoa lakini ni makeeper na maattractor
tunaruhusiwa kutoa uzoefu!
manake kuna mazombie yapo tu maeneo yanasubiri mkono udondoke( cc FP )
af kuna maaatracted wapo tu mradi nao wapate nusu hasara ,
hapo nimesaidia kudadavua?
:A S 39:manake na mi si wanijua wakati npo shule labda nilikuwa testa wa bhange!
mmmhhhh!!!!!!!!! real? isiishie hmu kwenye keyboard tu
ahahahahahhaha rev mother naomba nitoe angalizo!
kimfano kwa sisi tulio kwenye ndoa lakini ni makeeper na maattractor
tunaruhusiwa kutoa uzoefu!
manake kuna mazombie yapo tu maeneo yanasubiri mkono udondoke( cc FP )
af kuna maaatracted wapo tu mradi nao wapate nusu hasara ,
hapo nimesaidia kudadavua?
:A S 39:manake na mi si wanijua wakati npo shule labda nilikuwa testa wa bhange!
Kaunga yes married na ndo maana nikatoa angalizoAre you married Rocky? Apart from ur wife's attraction ni nini kilichangia hadi uombe hifadhi ya kudumu?
I think so, nimeona watu ambao ni very attractive na attribute zote za kuvutia na watunzaji wazuri wa mahusiano yao. So yes l guess.
ndo maana ukawa mlongo wangu......
yaani wakati nasoma post ya Kaunga nilikuwa najiwazisha sana haya maswali yako, lol!
maana wengine ni balaa tupu......
na kufuli vidoleni!!!!!!!!!!!!!!!!!!!