Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,170
- 829,119
Japo kimekuwa ni chanzo cha mapato kwa madaktari na baadhi ya hospitali hapa nchini lakini hiki kitu ni kibaya na cha kikatili mno, kutoa uhai kwa asiyeweza kujitetea tena asiye na hatia
Mabinti na wanafunzi ni watoaji wakubwa wa mimba, wengine wanafanikiwa lakini wakiwa wameshaharibu vizazi vyao, wengine wanakufa
Huko magerezani kuna wafungwa wengi tu wenye kesi zinazohusiana na abortion
Tujadili sasa sababu, njia dawa na vituo vinavyohusika na unyama huu