Tuiunge mkono timu ya CCM leo inacheza na Algeria.

Pamoja na kuwa leo timu inatekeleza ilani ya Chama cha mapinduzi lakini ni ndugu zetu tuwaombee waishinde Algeria (Mbweha wa jangwani) kwa angalau (3 - 0) tupate nafasi ya best looser, wakati huo tusisahau kuwaombea majirani zetu Kenya nao wana kibarua kizito dhidi ya Simba wa Teranga Senegal.

Pongezi kwa Uganda kwa kuiwakilisha vyema EAC.

Kila la heri CCM Stars.

View attachment 1143393
WATAPIGWA NA KUCHAKAA.
 
Back
Top Bottom