Hiki ulichoandika hapa ndio ndoto yenyewe tena ya mchana baada ya kuvimbiwa ugali na mharage mixer kisamvu.Natafsiri kwa maono yangu nionavyo japo sio sahihi!!Mr smile ni mstaafu pia yupo madarakani kama Magamba matatu alivosema kwenye uzi wake kuwa aneongoza nchi yupo nyumbani amekaa wakati waliopo ofisini hawajui wafanye nini hadi wamuulize!!!inawezekana kuelekea miaka miwili ya Mwendazake wenye nchi yao hawajafurahishwa namna inavoendeshwa wakaamua wafuate protocol kama walivyoifuata mwanzo kwa kuanza na Kipipa ndio akaja mwenda kuzimu!!sasa wameamua kuanza na Mr smile ili macho malegevu atakapoona nyuki watakatifu wametua kwenye ofisi yake kama unabii wa chinolo usemavyo basi macho legevu kukiacha kitu halafu wenye nchi wataamua nani akae!!!nadhani ulichoota ni kifo cha Mr smile!!!!ngoja tuone!!
Ngoja nitulie Msanii nitatejeaWiki mbili sasa naota ndoto inayoshahibiana kama mara nne hivi.
Kuna mkubwa, mtu mzito. Inawezekana ni mstaafu sijui, au yupo madarakani sijui bali YEYE ajua
Hayuko salama, yupo kwenye mikono inayoshahibiana na neno salama. Hali yake kiafya sijui, usalama wake kama ni wa uhakika sijui. YEYE ajua
Nimeota ndoto kuwa analazwa kaburini. Sababu ya mkono wa mtu sijui, au kudra za Mungu sijui. YEYE ajua.
Wana JF, hii ndoto imenisumbua sana kwa sababu ni kama tupo na watu wengi tunahudhuria mazishi ya mtu. Yes mtu mume na si mwanamke.
Je, inawezekana kaburi ni gereza au ni kweli kuna umauti upo.
Inawezekana kuna jambo linakuja na linaoneshwa kwangu mimi nisiyejua kuongea sawasawa.
Shughuli nzima ni mtanzuko wa kisiasa kwa sababu kwenye msiba watu walikuwa wamevaa nguo za kisiasa.
Mshana Jr tusaidiane hapo
aiseee hadi nimetetemekaNatafsiri kwa maono yangu nionavyo japo sio sahihi!!Mr smile ni mstaafu pia yupo madarakani kama Magamba matatu alivosema kwenye uzi wake kuwa aneongoza nchi yupo nyumbani amekaa wakati waliopo ofisini hawajui wafanye nini hadi wamuulize!!!inawezekana kuelekea miaka miwili ya Mwendazake wenye nchi yao hawajafurahishwa namna inavoendeshwa wakaamua wafuate protocol kama walivyoifuata mwanzo kwa kuanza na Kipipa ndio akaja mwenda kuzimu!!sasa wameamua kuanza na Mr smile ili macho malegevu atakapoona nyuki watakatifu wametua kwenye ofisi yake kama unabii wa chinolo usemavyo basi macho legevu kukiacha kitu halafu wenye nchi wataamua nani akae!!!nadhani ulichoota ni kifo cha Mr smile!!!!ngoja tuone!!
MtuHiki ulichoandika hapa ndio ndoto yenyewe tena ya mchana baada ya kuvimbiwa ugali na mharage mixer kisamvu.
Hakuna Mbwa yeyote anaethubutu kufanya kama hayo maji taka yako uliyoandika.
Akili kubwa iko advance sana,kabla hujawaza hayo wenzio wana majibu nayo tayari.
aiseee hadi nimetetemeka
sijui kuitafsiri ije ndotoniNdugu una haki ya kutafsiri ndoto hebu karibu!!!! ukiwa GT Lazima ujaribu kutoa tafsiri ya ndoto kama wengine jamvini!!